msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Nimeagiza gari Japan na imepakiwa kwenye meli lakini sijatumiwa tracking number

    Naombeni msaada kwa wazoefu kwenye hili, nimeagiza gari japan, imefikia hatua gari imepakiwa kwenye meli, nimejulishwa tarehe ya kuondoka na kufika japo pia hua zinabadilika. Uhitaji wangu uko hapa sijatumiwa tracking number ya kufatilia meli ya mzigo. Naombeni kujua huwa inatumwa lini?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gharama za fundi

    Habari za asubuhi wazee, Naombeni makadrio ya gharama za fundi kwenye ujenzi wa Msingi, ukuta, mpaka bati kwa wale wazoefu wa hizi kazi.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini tofauti ya kozi hizi?

    "Bachelor of Arts Economics" na "Bachelor of Arts in Economis" zina tofauti gani?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada matibabu ya korodani kuuma

    Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka asubuh ngoz ya korodan inapopata ubarid ngozi inajikusanya inachoma dawa nime2mia za fangasi za...
  5. Mizho26

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninampenda sitaki kumpoteza kwani tumeshafanya mambo mengi

    Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho...
  6. complexi

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

    Habari ndugu zangu. Ninaomba msaada, binti huyu ninaambatanisha picha zake amepotea tangu tarehe 27/08/2023. Binti huyu anaitwa Antia Focas, nyumbani walizoea kumuita Nyakato. Ana umri wa miaka 19. Mkazi wa Mkundi Morogoro, japo ana miezi mitatu tu tangu ahamie mkundi, mwanzoni tulikuwa...
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimetokwa na kijipu sehemu ya siri ghafla, naomba msaada

    Ni jambo lenye ukakasi ila sinabudi kulizungumza. Naomba mniwie radhi. Nilisafiri sehemu nikakaa siku moja, yapili nikarudi, naweza sema nimekaa siku mbili, lakini zaidi ya haja dogo, sijaenda haja kubwa hata maramoja. Niliporudi ninapoishi siku ya kwanza nikapata choo kigumu, siku ya pili...
  9. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la PC

    Ninaomba anayejua jinsi ya kufix tatizo hili kwenye PC anisaidie. Nimejaribu kuupdate graphics. Nimeinstall window mpya lakini tatizo bado lipo. kuna muda huwa screen inakuwa sawa. Kuna muda screen inazingua kama hivyo. Chief-Mkwawa Ninatanguliza shukrani Nimeambatanisha picha hapa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara za vitabu used

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada. Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba). Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used. Binafsi, naomba kujua huwa wanavilangua wapi?
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri unahitajika kwenye uhusiano huu

    Kuna mtu mmoja hivi kampenda rafiki yangu, hawajafanya lolote ila shida ni mke wa jamaa alikufa kwa ajali ya gari sasa huyo dada yupo njia panda anaogopa kama kitamtokea kama kilivyomtokea yule mama maaana kaacha mtoto wa miaka 2. Hii inshu haijatungwa, tunaomba tumpe msaada aende au abaki...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada

    Wakuu kwema? Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada. Nawasilisha. Wako Mtiifu, Gwego.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata nafasi CUHAS Course ya Radiology Level ya Diploma?

    Msaada naweza pata nafasi cuhas course ya radiology level ya Diploma?
  14. O

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

    Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
  15. black-tz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

    Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

    Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao Cc Chief-Mkwawa
  17. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Kati ya Cyber Security na Laboratory Science in Biotechnology

    Habari wanajf. Kuna rafiki yangu kachaguliwa kozi mbili vyuo vitatu, anaomba ushauri vipi a confirm. 1. Cyber security (Arusha) 2. Laboratory science in biotechnology (SUA na MUST) Msaada tafadhari , ipi Ina soko Sana ama Ina unafuu kwenye upatikanaji wa ajira
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria

    Jirani yangu alifungua kesi kuwa nimeingia kwenye shamba na kukata miti analodai ni lake ( ambalo nililinunua toka kwa mwanae aliyerithi kutoka kwa baba yake na huyo aliyenishitaki . Mahakama ikasema kwa vile kuna ubishani juu ya umiliki, Mahakama ikatoa amri kuwa aende mahakama ya ardhi itoe...
  19. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Vishilingi kichwani msaada wa dawa

    Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa. msaada tafadhali. haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Wana familia ya Jf, Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe. Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
Back
Top Bottom