Msaada: Kati ya Mining Engineer na Mineral Processing engineer ipi ni nzuri?

Johnson json

Member
Aug 20, 2023
17
10
Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer.

Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu.

Naomben ushauri
 
Nakumbuka mzee mmoja aliwahi nambia usiguse course hizi kama kwenu hakuna mgodi..
Mpaka sasa sijajua alikuwa anamaanisha nini
 
Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer.

Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu.

Naomben ushauri
Mbeleni unataka kuwa mtu wa mshahara tu au unapanga kuja kujiajiri kidogo?

Kama mtu wa mshahara , ukiotea chaka katika sector hiyo basi umetakataka mkuu, ila usipo otea napo kipengele sana..

Binafsi kila taaluma kwa Tanzania inalipa.. ina kuna mambo mengi sana ya kutazama
 
Back
Top Bottom