profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,485
- 3,134
Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo
1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima.
2. Relay ya taa(ya 5pin),ni nzima na iko vizuri.
3. Nikitoa relay nikawasha gari,na kuwasha taa(low bim,au full),then nikapima na mita kwenye slots za relay,za coil sipati umeme wowote.
4.nimefungua relay nimeipa moja kwa moja 12vdc ina make vizuri tu..
Nimeishia hapo naomba msaada,fuse za ndani zote nimepima ni nzima,relay ya taa hiyo hapo pichaView attachment 2743006