Msaada lodge nzuri Musoma

Asanteni sana wakuu
ADAVI HOTEL
Iko nje kidogo ya mji kabla hujafika stand ya mabasi (BWERI) inafaa sana kwa bajeti yako
 

Attachments

  • Screenshot_20230912-000907_Maps.jpg
    Screenshot_20230912-000907_Maps.jpg
    188.2 KB · Views: 2
Nenda Caster Ex. Lodge chukua ile room ya 50.000/- ipo juu kwenye kona utanishukuru kama hupapendi nenda AGAKI napo kama hupaelewi nenda Mafuru karibu na caster hapo room elfu tano!
Uwa la ziwani, G & G napo pazuri Parents, magoto, matvila kwa ujumla hukosi pa kulala usisahau kwenda ghorofani na pale container kuchukua kipozeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom