Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

Selemani See

Member
Aug 27, 2023
20
30
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam.

Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa;
Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu.
Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili).

Nina elimu ya chuo (bado mwanafunzi) nina experience na kazi ya ufundishaji masomo ya kiingereza na literature kwa ngazi ya O'level. Pia, nina experience ya kufanya kazi za mitaani kama kuosha vyombo, usafi na nyingine nyingi Ninaweza kuandika, kuedit na kutunga mashairi, riwaya na tamthilia.

Mwisho kabisa, sibagui kazi, mi nafanya kazi yotote inayopatikana mtaani au sehem yoyote.
Naomba kuwasilisha
 
Ushauri kwa suleman ni kwamba kuwa mvumilivu iko ni kipindi ambacho Malanyingi mtu Huwa anakuwa tayar kufanya chochote ili apate pesa so ni wakati Hatari sana nime experience hiyo hali so just be Humble usipaniki Hakuna mtu anakuwa na ujasili wa kuomba..

Kufanya kazi yeyote Ile! ni kauli ambayo inamaanisha kuwa huyo mtu yupo kwenye Hali sio ya kawaida Sanaaaaa.. kiuchumi na vitu kama hivyo me Sina kazi ya kukupa ila umenikumbusha Hali ambayo Nimepitia keep going champ
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam.
Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa;
Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu.
Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili). Nina elimu ya chuo (bado mwanafunzi) nina experience na kazi ya ufundishaji masomo ya kiingereza na literature kwa ngazi ya O'level. Pia, nina experience ya kufanya kazi za mitaani kama kuosha vyombo, usafi na nyingine nyingi Ninaweza kuandika, kuedit na kutunga mashairi, riwaya na tamthilia.
Mwisho kabisa, sibagui kazi, mi nafanya kazi yotote inayopatikana mtaani au sehem yoyote.
Naomba kuwasilisha
Kwa hiyo unatafuta kazi "part time"?
 
Ushauri kwa suleman ni kwamba kuwa mvumilivu iko ni kipindi ambacho Malanyingi mtu Huwa anakuwa tayar kufanya chochote ili apate pesa so ni wakati Hatari sana nime experience hiyo hali so just be Humble usipaniki Hakuna mtu anakuwa na ujasili wa kuomba..

Kufanya kazi yeyote Ile! ni kauli ambayo inamaanisha kuwa huyo mtu yupo kwenye Hali sio ya kawaida Sanaaaaa.. kiuchumi na vitu kama hivyo me Sina kazi ya kukupa ila umenikumbusha Hali ambayo Nimepitia keep going champ
Pamoja ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom