Mwenye kujua kuhusu uhamisho wa muda, naoma msaada

Kyenyabasa

JF-Expert Member
Mar 8, 2023
249
711
Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea.

Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea kekundu na keusi hapa.
 
Mbona sijakuelewa
 
Back
Top Bottom