Msaada wa haraka kuhusu brela

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari za wakati huu wapendwa
Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA
Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea.
Naomba nipate msaada au atakaye weza kufanya aje PM tuyapange kabla shule hazijafunguliwa
Ahsante
 
IMG_0504.jpg

Karibu
 
Back
Top Bottom