Jozedan56009
Member
- Mar 3, 2023
- 34
- 32
Habari,
Naomba kupewa mwongozo wa leseni ya biashara ya graphics design and branding
Naomba kupewa mwongozo wa leseni ya biashara ya graphics design and branding
Sawa shukranKata ya Stationery
Sio kweli usikate stationary leseni ya graphics design elf 80 na stationary laki 1 utapgwa 20 kizembe halafu wakija wakaguzi hawakuelewi watakwambia sio leseni ya hapo watahisi umehamisha leseni kutoka ofisi nyingine kuzugiaSawa shukran
Inapatikana halmashauri ?!Sio kweli usikate stationary leseni ya graphics design elf 80 na stationary laki 1 utapgwa 20 kizembe halafu wakija wakaguzi hawakuelewi watakwambia sio leseni ya hapo watahisi umehamisha leseni kutoka ofisi nyingine kuzugia
ingia kwenye mfumo wa tausi tamisemi jisajili kisha omba leseni ya biashara unayotaka kufanya Tausi PortalInapatikana halmashauri ?!