Msaada wa kurudisha email

LANDLORD123

New Member
Sep 6, 2023
2
0
Nahitaji kurudisha email yangu ya kwanza lakini password nimesahau.

Lakini hatua ya mwisho inanishinda wananiambia wametuma Tena verification code kwenye email ninayotaka kuirudisha, hapo nashindwa kabisa.
 
Inawezekana Ila nafahamu kwenye Gmail tu kwa sababu ishawahi kunitokea kwenye account yangu miaka 8 iliyopita Ila inachukua mda mpaka waifungue wajiridhishe kweli yako

Sijajua Kama itafanya kazi kwa sababu privacy policy zinabadilika kila baada ya mda fulani
 
Shida ya unakuta mtu mwingine kaweka recovery phone number ambayo alipopoteza hakuhangaika kurenew, mwaka wa kuzaliwa tarehe na mwezi alijiwekea tu na kasahau hapo inakuwa ngumu kujiridhisha.
Tena siku hizi gmail kuna kitu wameongeza, usipoingia kwenye email yako kwa muda kadhaa kama sio miezi 24 wanafuta email na kila kilichopo ndani.
 
Sijajua Kama itafanya kazi kwa sababu privacy policy zinabadilika kila baada ya mda fula

Shida ya unakuta mtu mwingine kaweka recovery phone number ambayo alipopoteza hakuhangaika kurenew, mwaka wa kuzaliwa tarehe na mwezi alijiwekea tu na kasahau hapo inakuwa ngumu kujiridhisha.
Tena siku hizi gmail kuna kitu wameongeza, usipoingia kwenye email yako kwa muda kadhaa kama sio miezi 24 wanafuta email na kila kilichopo ndani.
Nsaidie hiyo hiyo nijarbu
 
Mkuu mimi pia nina shida hiyo. Zaidi ya kupoteza namba ya simu niliyoweka data zingine zote ninazo ila nashindwa kuirudisha email.
 
Back
Top Bottom