Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

Mtu Alie Nyikani

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
714
1,527
Habari Wana JamiiForums.

Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB).

Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba Mkopo kwa ajili ya kusoma Elimu ya Juu utapewa au Mpaka Ulipe kwanza deni la Mkopo ambao uliutumia kwa Elimu ya Stashahada?

Naomba mnisaidie Kwa hili wakuu!! Maana najaribu kuwasiliana nao Simu hawapokei, mda mwingine namba haipatikani. Nisije nikajichanganya kwenye hili.

Natanguliza shukurani.
 
Atapewa ,ila anaomba akikidhi vigezo why not.Ila jamani tuombe MUNGU atusaidie tusomeshe watoto wetu .Fedha ya mkopo anayokuja kukatwa huku makazini sio mchezo kwa kuwa interest yao si jui ni ya nchi gani .Saa nyingine ni zaidi ya bank. Emerging mtu alikopeshwa 5years(medicine) tuition fee tu kwa mwaka ni around 5m (Government university) so TZS 25M weka interest sio mchezo mpaka anamaliza internship na kuanza kazi hilo deni limefika 30m duu unaishia ujana kwa kulipa deni kwanza.Mungu nisaidie niweze kusomesha watoto wangu kwa kweli.
 
Interest za HESLB ni 6% unaweza onyesha bank yenye riba chini ya hio?
 
MTU ALIYE NYIKANI nimeambatanisha tangazo hapa .. Kiufupu huu ufadhili utawahusu watu mahususi wenye umri chini ya miaka 27, walio kwenye maisha duni, yatima, wanafunzi wanaochukua masomo ya sayansi & Tec, ualimu n.k , kujibu swali ni kwamba huo si mkopo bali ni ufadhili na ukitaka kujiendeleza ni juu yako ...
 
Attachments

  • Diploma mikopo.pdf
    365 KB · Views: 26
MTU ALIYE NYIKANI nimeambatanisha tangazo hapa .. Kiufupu huu ufadhili utawahusu watu mahususi wenye umri chini ya miaka 27, walio kwenye maisha duni, yatima, wanafunzi wanaochukua masomo ya sayansi & Tec, ualimu n.k , kujibu swali ni kwamba huo si mkopo bali ni ufadhili na ukitaka kujiendeleza ni juu yako ...
Yeah ni ufadhili kutoka Loan board namimi nimeusoma na nimeona nakidhi vigezo kabisa vya Kuomba kwa Sasa nimepiga miaka miwili ya certificate lakin Sasa Hela ya kuendelea ndo imekua ngumu kupata kumalizia diploma,, maana mwez huu inabidi nirudi Chuo,, Sasa hapa najiuliza naweza soma mpaka mtihani wa mwisho ada ikakosekana mpaka saivi sioni dalili so nataka nijaribu kuomba kama nikipata??
Je kuja kuendelea na Degree watanipa tena Huo Mkopo au mpaka niwalipe maana ni hao hao Loans Board
 
Ni lazima uturudishie 25% yetu ya mkopo wa hiyo diploma ndipo tukupe mkopo wa degree, hata hivyo haitokuwa kigezo cha sisi kukupa huo mkopo wa degree.
 
Means Kwamba hata usiporudisha Utapewa Mkopo wa Elimu ya Juu ukikidhi vigezo
 
Yeah ni ufadhili kutoka Loan board namimi nimeusoma na nimeona nakidhi vigezo kabisa vya Kuomba kwa Sasa nimepiga miaka miwili ya certificate lakin Sasa Hela ya kuendelea ndo imekua ngumu kupata kumalizia diploma,, maana mwez huu inabidi nirudi Chuo,, Sasa hapa najiuliza naweza soma mpaka mtihani wa mwisho ada ikakosekana mpaka saivi sioni dalili so nataka nijaribu kuomba kama nikipata??
Je kuja kuendelea na Degree watanipa tena Huo Mkopo au mpaka niwalipe maana ni hao hao Loans Board
Unaweza kupata na vile vile wanaweza kukunyima kulingana na taratibu zao.
 
Atapewa ,ila anaomba akikidhi vigezo why not.Ila jamani tuombe MUNGU atusaidie tusomeshe watoto wetu .Fedha ya mkopo anayokuja kukatwa huku makazini sio mchezo kwa kuwa interest yao si jui ni ya nchi gani .Saa nyingine ni zaidi ya bank. Emerging mtu alikopeshwa 5years(medicine) tuition fee tu kwa mwaka ni around 5m (Government university) so TZS 25M weka interest sio mchezo mpaka anamaliza internship na kuanza kazi hilo deni limefika 30m duu unaishia ujana kwa kulipa deni kwanza.Mungu nisaidie niweze kusomesha watoto wangu kwa kweli.
Umasikini ndo unao tufanya tufikilie kwamba mkopo wa elimu ya juu ni msaada kumbe sio ni kuendeleza umasikini ule ule.
 
Atapewa ,ila anaomba akikidhi vigezo why not.Ila jamani tuombe MUNGU atusaidie tusomeshe watoto wetu .Fedha ya mkopo anayokuja kukatwa huku makazini sio mchezo kwa kuwa interest yao si jui ni ya nchi gani .Saa nyingine ni zaidi ya bank. Emerging mtu alikopeshwa 5years(medicine) tuition fee tu kwa mwaka ni around 5m (Government university) so TZS 25M weka interest sio mchezo mpaka anamaliza internship na kuanza kazi hilo deni limefika 30m duu unaishia ujana kwa kulipa deni kwanza.Mungu nisaidie niweze kusomesha watoto wangu kwa kweli.
6% ya 30 ni 180,000×10yrs of payamement duration inakua 18m riba hiyo jumliisha na princple debt of 30m = 48m jumlasha na 2% ya inflation and debt collection ni 1.4 m totol debt payment 50m.........sasa hizo utaweza je kujiondoa kwenye umasikini ikianza ajira na deni la 50m.
 
Habari Wana JamiiForums.

Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB).

Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba Mkopo kwa ajili ya kusoma Elimu ya Juu utapewa au Mpaka Ulipe kwanza deni la Mkopo ambao uliutumia kwa Elimu ya Stashahada?

Naomba mnisaidie Kwa hili wakuu!! Maana najaribu kuwasiliana nao Simu hawapokei, mda mwingine namba haipatikani. Nisije nikajichanganya kwenye hili.

Natanguliza shukurani.
Hauwezi kupata mkopo , mpaka umalize mkopo wa awali kwanza then ndio upewe mkopo mwingine ....
 
Back
Top Bottom