Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Note
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia

Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua

Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.

Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.

Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.

Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.

Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.

Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
 
Msaada unapatikana kwa wepesi msikitini.

Mimi sio muislam na huwa naponda sana vitu vingi vya uislamu.

Ila kwenye mambo ya utu wa wa waumini wake hapa Tanzania uislamu unaongoza. Kwenye kukusikiliza shida yako na kukusaidia wapo vizuri sana.

Hata kama mgeni ana tatizo akienda msikitini rahisi kusikilizwa na kusaidiwa kuliko akienda kanisani.

Waislam ni wajamaa na wakristo ni mabepari.. hata huduma za kanisani wenye hela wanapata upendeleo kila sehemu

Kanisa halimsikilizi mtu lisiemjua.. hata kumzika tu mkristo mwenzao ishu wanatazama mahudhurio yake na utoaji wake wa sadaka
 
Dini zimetufanya Wabongo kuwa Mazumbukuku kama vile kuja nyuzi zimepwaya katika bongo zetu.

Kwanini usiseme utapata msaada mitaani kwenye Jamii inayokuzunguka bila kuhusisha dini yoyote?

Mbona kitaa tunasaidiwa hata na Wapagani?

Waafrika tulilogwa na nani kuhusu hizi dini?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu! Wakristo wengi ni wanafkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Makanisa mengi ya wakristo kama huna hela na hawakujui utaonekana takataka tu
 
Hapana mimi kwa experience nimewahi kuona mtu mkristo akipewa msaada msikitini jirani na napoishi.
Mbona mi mwenyewe niliwahishuhudia Muislam akipewa msaada wa fedha za matibabu toka kwa Wakristo na Wapagani Muhitaji akiumwa mguu kwa majirani hadi alishukuru akisema amesaidiwa sana sana makanisani na mitaani kuliko misikitini?

Mbona sikujumuisha Waislamu wote si watoaji misaada tokana na yule Muhanga mmoja tu?

Ondokeni kwenye utumwa wa akili za dini za Wakristo na Waislamu, pevukeni kimaarifa kuleta zaidi amani na upendo katika jamii.
 
Msaada unapatikana kwa wepesi msikitini.

Mimi sio muislam na huwa naponda sana vitu vingi vya uislamu.

Ila kwenye mambo ya utu wa wa waumini wake hapa Tanzania uislamu unaongoza. Kwenye kukusikiliza shida yako na kukusaidia wapo vizuri sana.

Hata kama mgeni ana tatizo akienda msikitini rahisi kusikilizwa na kusaidiwa kuliko akienda kanisani.

Waislam ni wajamaa na wakristo ni mabepari.. hata huduma za kanisani wenye hela wanapata upendeleo kila sehemu

Kanisa halimsikilizi mtu lisiemjua.. hata kumzika tu mkristo mwenzao ishu wanatazama mahudhurio yake na utoaji wake wa sadaka
Wamewaiga wazungu
 
Kweli kabisa
 
Nakubaliana na wewe mwandishi kwa sehemu. Kwa kuwa ulikwenda tuu Mwenge haimaanishi kkkt wote wako hivyo. Ni vyema ukajieleza vizuri ukaaminika na kama ulikotoka kunaeleweka sawasawa. Kuaminika kungewezesha kupata msaada. Siku hizi. Matapeli wengi.
Mimi ni kkkt nakuhakikishia Asilimia kubwa ya kkkt kumsaidia mtu asiyemjua ni ngumu ule upendo wa agape hawana na wengine ni viongozi kabisa
hivi mtu anayekuomba nauli anaweza akawa tapel
 
Shetani ni mwerevu sana.... huwa anatumia silaha yeyote ile kushambulia ...

Mimi Sio K.K.K.T... ila kwa jinsi mtoa mada na mwenzie walivyokuwa wepesi kushambulia kanisa kosa ambalo halipo ndo utajua ibilisi mwerevu....!

Kwanza mimi naamini Sadaka huwa zinaenda benki....

Mlinzi uliyekutwa yawezekana akawa hana hiyo nauli...!

Makanisa husaidia Wahitaji kama ambavyo Misikiti wanavyosaidia Wahitaji.... , ila ni namna gani huyo muhitaji anasaidiwa ndio kuna tofauti....!
 
Kama huna nauli sio umfokee mtu na kuanza kumdharau na kudhalilisha utu wake mwambie tu sina kwani unapungukiwa na nini

Hakuna namna Mungu anatufundisha kwamba mtu akija na shida uanze kumfokea na kudhalilisha utu wake mbele za watu
 
Wamewaiga wazungu
Yani kuna dini inajiona iko sahihi sana kwa kudharau dini zingine huku ikijisifu ni dini ya haki kuliko zingine zote.

Kwa akili za kuzaliwa mwenye hekima anapaswa kutoka nnje ya boksi ajiulize ni kweli dini zingine kama Hinduism, Rastafarians, Paganism, Buddhism na wengine wote wasioishi katika imani za kidini wataadhibiwa na Mungu kwa kutoabudu hiyo dini au kutotenda mema kwa kuuishi upendo kwa Binadamu wenzao?

Mara dini hii ina Wanawake wenye maadili bora sana kwenye ndoa, mara maandiko yake ni sahihi hayana kasoro zozote kuliko maandiko ya dini zingine, mara oooh waumini wake ni watakatifu sana kuliko waumini wa dini zingine, kwani ni malaika hadi wasiwe na kasoro?

Kwa upeo wa kawaida utaona kabisa hakuna kitu kama hicho la sivyo huyo Mungu atakuwa ni katili kuliko hata Shetani.

Wakoloni walituweza sana kutupumbaza na hizi dini za kuletewa, itatugharimu hata miaka 1000 Waafrika kutoka kwenye huu utumwa wa kidini.

Back
Top Bottom