Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

Namora

JF-Expert Member
May 2, 2020
406
1,000
Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.

Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.
 
Ndoa Kwa kiasi Fulani ni kuifurahisha jamii...wewe muoe Tu huyo huyo ...
Advantages ukimuoa basi hao ndugu wote watakuwa tayari kukusaidia hata mtaji ukikwama since Una mke wanaempenda......tofauti ukienda chagua huko tiktok au kwenye vigodoro... wanaweza kukutenga
 
Hutaki kuoa?Hupendi kula uroda?Hupendi kuishi na mke mkibadilishana ujingaujinga wenu kimaisha?Oa kijana.Au unaogopa huyo binti atakuchezea akuache?
 
Ndoa Kwa kiasi Fulani ni kuifurahisha jamii...wewe muoe Tu huyo huyo ...
Advantages ukimuoa basi hao ndugu wote watakuwa tayari kukusaidia hata mtaji ukikwama since Una mke wanaempenda......tofauti ukienda chagua huko tiktok au kwenye vigodoro... wanaweza kukutenga
Mkuu nilivyoenda kumuona nikaongea nae wajomba walibaki wanasubiri kujua kama binti atanipenda nae kuolewa nami. Walivyosikia kakubali walishangilia balaa😂
 
Screenshot_20231007-232359_WhatsApp.jpg
Screenshot_20231007-232359_WhatsApp.jpg
Ona sasa haya mambo ya ndoa-ndoa, hajamaliza hata miezi sita na ni ndoa ya Kanisani hii.
 
Mimi hawakuishia kunichagulia tu, bali nililazimishwa kabisa.

Nilikataa sana na baadae ikanilazimu kuridhia.

Aisee!. Nikiri wazi kuwa hakika nimepata mwanamke wa tofauti kabisa. Mwanamke bora, mtiivu na hakika mwenye upendo uliopitiliza.

Sisemi kuwa huyo wako naye atakuwa bora, ila tabia ya mtu huonekana hadharani. Kinachobaki na kitakachoamua mustakabali wa baadae ni maono yake mwenyewe.

Jisomee hapa;
Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom