msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4. Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km. Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu. Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
  2. N

    Akisoma HGL anaweza soma Bachelor ya IT?

    Wakuu msaada wenu unahitajika. Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri. Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT. Sasa anachohitaji kujua ni je ni combi gani anatakiwa lazima asome form 5 & 6 ili iwe rahisi kwa yeye kuapali bachelor ya...
  3. Warranty ya simu refubrished ina msaada kwa mnunuzi endapo muuza simu akikataa kuitimiza pale simu itakapohitaji warranty?

    Habarini wakuu wa tech Tanzania, Kulingana na nilivyouliza swali hapo juu kwa yule mwenye uzoefu aliyekwisha wahi kukutana na kadhia kama hiyo.
  4. Msaada: Nahitaji vifaa vya mazoezi vya mtumba (Dumbbells)

    Wakuu habari. Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada humu. Uchumi kidogo umebana siwezi kununua vipya kwahiyo yoyote anaeweza nisaidie chimbo la dumb...
  5. Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  6. A

    Msaada kwenda Austria.

    Habari wakuu, Nina mpango wa kwenda Vienna-austria Kisha nielekee United kingdom.naomba kupewa miongozo kwa sababu Ni Mara yangu ya kwanza na ninaenda kibiashara zaidi na sjawahi kusafiri nje ya nchi kabisa japo Nina passport toka 2021 . Naomba kupewa miongozo ifuatayo tafadhali. 1.Ni kampuni...
  7. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka. “I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the...
  8. Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Sehemu ya 1. sina budi kuendeleza hii stori. Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto...
  9. Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

    GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
  10. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
  11. Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

    Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA SHUKURANI
  12. Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    ..
  13. Msaada: Jaji kahongwa

    u
  14. M

    Msaada wa hotel nzuri Dar es Salaam isiyozidi 50,000

    Habarini kaka na dada zangu. Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night. Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam. Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu. Asanteni kwa muda wenu.
  15. M

    Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark. Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo. Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
  16. A

    Mnanishaurije kuhusu kuchukua cheti cha udereva NIT?

    Mimi nikijana niliehitimu mafunzo yaufundi mekaniks mwaka jana. Mwaka huu nwezi wapili nikapata kazi nashukuru imenipa uzoefu mzuri sana kwenye masuala yaufundi Lakini sasahivi ofisi imefilisika kiasi chasisi mafundi kukosa hela nimejalibu kuomba kazi sehemu kazaa nimekosa Nimeweka hakiba...
  17. Ni jinsi gani ya kupakua youtube playlist na kuihifadhi kwenye windows laptop

    Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya windows. Na ni kawaida yangu sikuzote nihitajipo kujua jambo fulani la kimtandao huwa naigia kwenye...
  18. Wakuu naombeni msaada, nichukue router ipi kati ya hizi?

    wakuu kwema hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi naishi Tabata segerea.
  19. Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

    Nina ndoto za kusoma nje, nilifanikiwa kupata chuo na scholarship lakini napata changamoto nimekosa passport yaani nimenyimwa sababu mzazi alishindwa kujieleza yaani alipishana kauli na Afisa uhamiaji. Sasa nimepeleka documents zote na barua ambayo nimetumiwa na chuo ili wanisaidie hata...
  20. Msaada wa Gengetone kali

    Nimeanza kusikiliza Gengetone. Naburudika, nacheka na kushangaa. Msaada wa gengetone kali kali. Natanguliza shukrani. https://youtu.be/kfzc-JOotH0?si=UrWSjEj8YvAph9lE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…