Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

Mangien

New Member
Mar 9, 2023
4
0
Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
 
Zamani ilikuwa kwenda kuapa mahakamani halafu unaenda huko vizazi na vifo unachongewa cheti kingine, kwa sasa sijui.

Ila pia ukienda huko polisi kuripoti kimeibiwa wanakupa sijui nini unaenda kukata cheti kingine.

Ukiwa na hela ya kununua haki yako nchi haupati shida
 
Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Kilikosewa na nani, aliyekiandika aliandika alichopewa, alipewa na nani, baba yako au mama? Mimi naona wewe ndiye uliyetoa hiyo tarehe ambayo ulikuwa ukiitumia kwa wakati ule wakati Nida haikuwa muhimu na hivi sasa bila usahihi wa cheti cha shule ya msingi biashara utIsikia tu, kuwa makini.
 
Simple tu vp una kadi ya mpiga kura?... Kama unayo tumia kama kielezo. Au tumia leaving cetf.
 
Back
Top Bottom