Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

Barackachess

Senior Member
Sep 1, 2018
156
121
Habari,

Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na biashara ya chakula)

Kuna mambo kadhaa nimesikia ningependa kujua/kusikia kutokakwenu kama ni ya kweli kabla sija invest pesa na muda

1. Je, kuna ukweli kwamba ukiwa unalisha mabasi ya mikoani basi faini zote za mabasi YANAYOKULA KWENYE HOTELI YAKO utazilipia wewe unayeletewa abiria mgahawani? Yani makubaliano ya wamiliki wa mabasi/madereva na wenye mighahawa ni hayo/

2. Je, natakiwa kuwalipa madereva kiasi cha shilingi elfu 20 kila wanapo niletea abiria?

Tafadhari tushauriane hapa,

Natanguliza shukrani.
 
Hiyo route ina magari mengi sana, hivyo ni fursa tosha kwa wenye macho na mitaji kufanya uwekezaji.

Hotel zilizopo kwa njia hiyo nyingi ni za hovyo hovyo tu, mfano:

Hotel ya makambako pale imepoa sana, magari mengi hayasimami pale.

Hotel ya Mafinga kinyanambo, pako vizuri Ila ubora wa chakula uko chini sana.

Hotel ya Iringa pale Igumbilo imekaa kienyeji sana.

Hotel ya Kilimanjaro pale Mahenge Kama sijakosea, ni mpya, nzuri na chakula kizuri. Ila tatizo bei sio rafiki na parking kwa maroli amepandisha tofauti na alivyoanza.

Al Jazeera hotel pale Ruaha mbuyuni nayo imeyumba sana.

Msamvu pale Kuna hotel(jina silikumbuki) huduma nzuri, bei rafiki Ila parking ni ndogo sana.

Cate hotel Yuko vizuri kwa kila kitu kuanzia bei, ubora wa chakula, mazingira, parking,n.k

Hizo ni baadhi ya hotel zinazoeleweka kwa njia hiyo na madhaifu niliyoyaona kwa macho yangu ni hayo.

Ukiyafanyia kazi utatoboa, Cha msingi location iwe nzuri, huduma rafiki(bei za kitanzania zinazokulipa), msosi mzuri(ubora), parking ya kutosha na bei rafiki. Utapata kuanzia wateja wa mabasi mpaka maroli.

Suggestion yangu kwa location iwe kati ya Mafinga na Mikumi.

Jaribu kupata muda wa kusafiri ukaongea na madereva wa mabasi Kama New Force maana yapo mengi, utapata A,B,C,D ya namna gari wenzio hufanya ili uone pia nawe unaboreshaje huduma kama sehemu ya kurekebisha madhaifu ya washindani wako.
 
Hiyo route Ina magari mengi sana, hivyo ni fursa tosha kwa wenye macho na mitaji kufanya uwekezaji.
Hotel zilizopo kwa njia hiyo nyingi ni za hovyo hovyo tu, mfano:
Hotel ya makambako pale imepoa sana, magari mengi hayasimami pale.
Hotel ya Mafinga kinyanambo, pako vizuri Ila ubora wa chakula uko chini sana.
Hotel ya Iringa pale Igumbilo imekaa kienyeji sana.
Hotel ya Kilimanjaro pale Mahenge Kama sijakosea, ni mpya, nzuri na chakula kizuri. Ila tatizo bei sio rafiki na parking kwa maroli amepandisha tofauti na alivyoanza.
Al Jazeera hotel pale Ruaha mbuyuni nayo imeyumba sana.
Msamvu pale Kuna hotel(jina silikumbuki) huduma nzuri, bei rafiki Ila parking ni ndogo sana.
Cate hotel Yuko vizuri kwa kila kitu kuanzia bei, ubora wa chakula, mazingira, parking,n.k
Hizo ni baadhi ya hotel zinazoeleweka kwa njia hiyo na madhaifu niliyoyaona kwa macho yangu ni hayo. Ukiyafanyia kazi utatoboa, Cha msingi location iwe nzuri, huduma rafiki(bei za kitanzania zinazokulipa), msosi mzuri(ubora), parking ya kutosha na bei rafiki. Utapata kuanzia wateja wa mabasi mpaka maroli.
Suggestion yangu kwa location iwe kati ya Mafinga na Mikumi.
Jaribu kupata muda wa kusafiri ukaongea na madereva wa mabasi Kama New Force maana yapo mengi, utapata A,B,C,D ya namna gari wenzio hufanya ili uone pia nawe unaboreshaje huduma kama sehemu ya kurekebisha madhaifu ya washindani wako.
Ahsante sana mkuu kwa muda wako kuniandikia haya maoni, Umeniongezea kitu Shukran sana brother.
Kuhusu location natarajia kuweka MTUA (Kituo kimoja baada ya Ilula) panafaa kwa mtazamo wangu
 
Ushauri:

- Muhimu sana uwe na connection na line Moja ya Ma Bus, unawategemea sana hao, bila wao hufanyi biashara.

- Terms sidhani kama ni issue, na hapa sio mahali pa kuuliza, kafanye feasibility study kwa hao suppliers.

- Kama budget ni 200m, make sure una 250m, hiyo 50m ni ya kuihudumia kabla ujaanza make profit.

- location ni jambo Muhimu sana, hakikisha lipo mazingira ambayo watu watakuwa na uitaji, pia ni rafiki kwa mda.
 
Mkuu ahsante kwa hili. (NIMELICHUKUA KAMA LILIVYO, NAFANYIA KAZI)
 
Hiyo route ina magari mengi sana, hivyo ni fursa tosha kwa wenye macho na mitaji kufanya uwekezaji.

Hotel zilizopo kwa njia hiyo nyingi ni za hovyo hovyo tu, mfano:

Hotel ya makambako pale imepoa sana, magari mengi hayasimami pale.

Hotel ya Mafinga kinyanambo, pako vizuri Ila ubora wa chakula uko chini sana.

Hotel ya Iringa pale Igumbilo imekaa kienyeji sana.

Hotel ya Kilimanjaro pale Mahenge Kama sijakosea, ni mpya, nzuri na chakula kizuri. Ila tatizo bei sio rafiki na parking kwa maroli amepandisha tofauti na alivyoanza.

Al Jazeera hotel pale Ruaha mbuyuni nayo imeyumba sana.

Msamvu pale Kuna hotel(jina silikumbuki) huduma nzuri, bei rafiki Ila parking ni ndogo sana.

Cate hotel Yuko vizuri kwa kila kitu kuanzia bei, ubora wa chakula, mazingira, parking,n.k

Hizo ni baadhi ya hotel zinazoeleweka kwa njia hiyo na madhaifu niliyoyaona kwa macho yangu ni hayo.

Ukiyafanyia kazi utatoboa, Cha msingi location iwe nzuri, huduma rafiki(bei za kitanzania zinazokulipa), msosi mzuri(ubora), parking ya kutosha na bei rafiki. Utapata kuanzia wateja wa mabasi mpaka maroli.

Suggestion yangu kwa location iwe kati ya Mafinga na Mikumi.

Jaribu kupata muda wa kusafiri ukaongea na madereva wa mabasi Kama New Force maana yapo mengi, utapata A,B,C,D ya namna gari wenzio hufanya ili uone pia nawe unaboreshaje huduma kama sehemu ya kurekebisha madhaifu ya washindani wako.
Angalia una target magari kwenda mkoani au kurudi dar? Angalia time yanayopita hapo ingawa kuna ratiba usiku pia....all the best......Kitonga alichemsha nafasi iko wazi
 
Hii ni moja ya biashara nitakayopenda kuja kufanya huko mbeleni but naona kabla hujaanza ukatafute namna flani ya kuongea na wamiliki wa mabus yanayoenda mengi ukanda huo mfano NewForce/Holden Deer

Posho kwa madereva hiyo ni utaratibu upo toka enzi na enzi ni lazima utawalipa na watapata chakula bure wale staff wote wa hiyo Bus. Kwa maono yangu ni biashara ambayo ina uhakika sana kama tu ushapata kampuni kubwa ya kulisha hapo hotelin kwako
 
Hii biashara huwa sio endelevu, baada ya muda watakuhama na utabaki na magofu.
Nashauri wekeza huo mtaji kwenye viwanda vidogo vidogo
 
Habari,

Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na biashara ya chakula)

Kuna mambo kadhaa nimesikia ningependa kujua/kusikia kutokakwenu kama ni ya kweli kabla sija invest pesa na muda

1. Je, kuna ukweli kwamba ukiwa unalisha mabasi ya mikoani basi faini zote za mabasi YANAYOKULA KWENYE HOTELI YAKO utazilipia wewe unayeletewa abiria mgahawani? Yani makubaliano ya wamiliki wa mabasi/madereva na wenye mighahawa ni hayo/

2. Je, natakiwa kuwalipa madereva kiasi cha shilingi elfu 20 kila wanapo niletea abiria?

Tafadhari tushauriane hapa,

Natanguliza shukrani.
Sawa chawa wa Mbowe kwenye id Mpya
 
Hongera sana mkuu
Hoteli nyingi zipo kulisha abiria wewe yako umekuja na hoteli ya kulisha mabasi utauza sana
UNIKUMBUKEPO HATA MKUSANYA HELA YA MALIWATONI
Ahsante sana mkuu , 😀😀😀😀😀 TUTAKUMBUKANA , Nitarudi hapa kutoa shukrani nikifungua🙏
 
Hii ni moja ya biashara nitakayopenda kuja kufanya huko mbeleni but naona kabla hujaanza ukatafute namna flani ya kuongea na wamiliki wa mabus yanayoenda mengi ukanda huo mfano NewForce/Holden Deer

Posho kwa madereva hiyo ni utaratibu upo toka enzi na enzi ni lazima utawalipa na watapata chakula bure wale staff wote wa hiyo Bus. Kwa maono yangu ni biashara ambayo ina uhakika sana kama tu ushapata kampuni kubwa ya kulisha hapo hotelin kwako
Shukran mkuu nalibeba hili🙏 nakufanyia kazi
 
Angalia una target magari kwenda mkoani au kurudi dar? Angalia time yanayopita hapo ingawa kuna ratiba usiku pia....all the best......Kitonga alichemsha nafasi iko wazi
Shukran sana mkuu, Hivi eneo kama confort kitonga si lishakufa? Panakodishwa pale au ndo bado mmiliki anakomaa nako?
 
Back
Top Bottom