Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

Mangien

New Member
Mar 9, 2023
4
0
Habari za wakati huu wakuu,

Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
 
Unaenda Wilayani kwa kamishna wa viapo au mahakamani kama sijakosea...ila Wanasheria humu watakupa mwongozo zaidi
 
Habari za wakati huu wakuu,

Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Fika Rita Jambo Dogo Sana Utalipa Gharama Kidogo
 
Back
Top Bottom