Msaada kuhusu account ya Twitter

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,404
3,567
Habari wadau kwema wote naona woote hamujambo humu 😁 wenye changamoto yoyote na mahangaiko ya dunia poleni sana,

Nije kwenye mada yangu inahusu hivi, nina account ya Twitter sijaingia siku, mpaka yule jamaa akanunua sasa naona vitu vipya nimeingia vizuri sasa kimbembe kinakuja kwenye following account mbalimbali inaleta like this👇
Screenshot_20240116-150951.png

Haya nikasema niende kulia Go to x.com sawa nikaenda👇
Screenshot_20240116-151301.png

Nimefika hapo nimechanganyikiwa sielewi nisaidieni wadau nifanyeje,

Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom