Msaada wa mwenye taarifa za fedha za simba sc

pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
6,206
6,439
Habari ya muda huu wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye swali langu , mwanachama aliyeshiriki kwenye mkutano mkuu wa simba na anajua taarifa za fedha ? Au anielekeza sehemu ya kupata online
 
Habari ya muda huu wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye swali langu , mwanachama aliyeshiriki kwenye mkutano mkuu wa simba na anajua taarifa za fedha ? Au anielekeza sehemu ya kupata online
Watakwambia wameipenda wenyewe wako tayari kufa wakiwa Makolokolo au "HAYAKUHUSU"

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mmeambiwa kuwa zimejenga kukuta. Funga mdomo maana huna hisa hata ya shilingi moja
 
Nani kama Mangungu? 😁😁😁

IMG-20240121-WA0074(1).jpg
IMG-20240121-WA0100.jpg
IMG-20240121-WA0072.jpg
 
Back
Top Bottom