msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho. Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada; Je asomee kitu gani? Ana D kwa masomo yote kasoro Math's F na Kiswahili C

    Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea >>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>> NIT DIT NACTE
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha. Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naondoaje uraibu wa kusikiliza muziki?

    Yaani hata nikisikia mlio wa ambulance tu basi akilini naisikia 'Brigedier Sabari' ya alpha blond, Yaani nikisikia tu neno 'mpenzi' basi haraka kichwani huja wimbo 'Sanura' wa Tongolanga kwenye kile kipande kinachosema, ''Unachonishangaza mpeenzi, huzoeleki; Huwa unashindwa wapi zaiidi, tele...
  8. JamiiForums Tanzania MSAADA: Je, hiki kinyesi kwa mtoto ni kawaida?

    Habarini wakuu! Mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11 ametoa hiki kinyesi, kina shida yoyote kwa anayefahamu? Ninaomba msaada tafadhali.
  9. JamiiForums Tanzania Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Mchicha pori mwekundu je! Unaliwa ama sumu? Na upandaji wake ni kama mchicha tuliouzoea? Hivyo nikisema nijaribu kuupanda unakubali kwa all season kwa maana kiangazi na masika? Mchicha pori nimetokea kuupenda sana sana, ila huu mwekundu unanipa mashaka kama unaliwa. Msaada wenu wanajamvi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kupeleka rufaa kwa Rais

    Habari, Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais. Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui. Na Mwajiri hakufuata kanuni za Utumishi, niliweka hayo malalamiko kwenye rufaa ya mwanzo ila hawajajibu wameconclude kuwa adhabu...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma). Mwanaume akaondoka kachukua mke wa watu kijiji jirani wakaenda Katavi. Hakuwasiliana na familia yake muda wote akiwa Katavi...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

    Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
  13. JamiiForums Tanzania Msaada niko njiapanda muda wa mawasiliano na mpenzi wangu

    "Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute yeye, kulingana na kazi yake simu anaweka mbali so napopiga muda yuko bize hapokei hivyo nikamwambia...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kodi ya meza

    Mtu ukiwa umeoa kila siku mezani unatakiwa kuacha kuanzia shingapi?
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo yenu nipo katika harakati za kupambania maisha yangu

    Hello wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo kijijin na huku kijijin wazazi Wangu wamenipa duka nirithi la nguo. Hili duka cha kwanz siipendi hii...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu hapa wakuu. Kuna mdada nmemtongoza kanambia anamchumba leo mwaka umepita, bado anaendelea kusogea karibu yangu

    Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae". Nifanyeje ili nmpate wakuu?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa uchaguzi wa fani

    Habari! Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;- i)Umeme wa magari ii)Umeme wa majumbani iii)Udereva Nimekuja kwenu kuomba ushauri/msaada kwa kuzingatia uzoefu wenu pamoja na upana wa soko la kujiajiri/ajira kwenye fani...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

    Habari ya asubuhi wakuu?. Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu waislamu

    Nisaidieni anaejua attahiyatu zote mbili mana nimezisahau. Anaejua anisaidie kwakuniandikia hapa inshaa allah
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…