Msaada wa uchaguzi wa fani

Razorblade

Member
Aug 30, 2019
76
148
Habari!

Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;-

i)Umeme wa magari
ii)Umeme wa majumbani
iii)Udereva

Nimekuja kwenu kuomba ushauri/msaada kwa kuzingatia uzoefu wenu pamoja na upana wa soko la kujiajiri/ajira kwenye fani hizo lakini pia unaruhusiwa kupendekeza fani zingine tofauti na hizo kama nyongeza.

Muhimu: Kupendekeza fani zingine na kuelezea ubora wake tofauti na hizo inaweza kuwa na msaada kwa wengine wengi zaidi.
 
Ningechagua umeme wa nyumbani au magari. Kati ya hizo mbili.
 
Zote hizo ni nzuri ukichukua yoyote kati ya hizo ni dope tu ila umeme wa magari hapo yaweza kuchukua muda zaidi hadi kuja kuwa na uzoefu unaotakikana baada ya mafunzo so kama unahitaji quick skill hizo mbili ni dope zaidi
 
Zote Hizo Nzuri Ila Umeme Wa Nyumba Naona Ni Mzuri Ila
Tazama Na Hizi Pia Endapo Veta Unayotaka Kusoma Wanafundisha
office Machinery
A/C AndRefrigerator
OFFICE ATTENDANCE
Sasa Ukipata Za Muda Mfupi Ama Mrefu
 
Nimekuelewa, ngoja nianze na udereva kisha niangalia upepo umekaaje.

Ahsante.
 
Zote Hizo Nzuri Ila Umeme Wa Nyumba Naona Ni Mzuri Ila
Tazama Na Hizi Pia Endapo Veta Unayotaka Kusoma Wanafundisha
office Machinery
A/C AndRefrigerator
OFFICE ATTENDANCE
Sasa Ukipata Za Muda Mfupi Ama Mrefu
Hii office machinery inahusu nini mkuu.

Ahsante.
 
Kutengeneza Photocopies Machines, Fax ,Printer Na Vingine Vya Aina Hiyo
Anhaa! Sawa umeongezea fani nyingine yenye faida.

Nimechagua kuanza na udereva kwanza halafu endapo itatokea nafasi ya kuongeza ujuzi mwingine naimani mchango wako utanisaidia kufanya uchaguzi sahihi zaidi.

Ahsante.
 
Habari!

Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;-

i)Umeme wa magari
ii)Umeme wa majumbani
iii)Udereva

Nimekuja kwenu kuomba ushauri/msaada kwa kuzingatia uzoefu wenu pamoja na upana wa soko la kujiajiri/ajira kwenye fani hizo lakini pia unaruhusiwa kupendekeza fani zingine tofauti na hizo kama nyongeza.

Muhimu: Kupendekeza fani zingine na kuelezea ubora wake tofauti na hizo inaweza kuwa na msaada kwa wengine wengi zaidi.
Kijana mambo. Umeme wa Magari wanafundishi VETA ya wapi.?
 
Back
Top Bottom