msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. monotheist

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kazi za security

    Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD. Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
  2. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Wana Dawati Msaada

    Naomba kujua huu ni ugonjwa au la na je dawa yake ni nini
  3. sepema

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiutumishi tafadhali

    Salaam wakubwa.Ushauri unaombwa kwa mwalimu wa tgts E ambaye nina bachelor ya Education in Adult Education and community development. Kwanza naomba kujua iwapo bachelor hii inakubali kubadilishiwa muundo kwenda maendeleo ya jamii. Kama inafaa naomba kujua fursa zilizopo huko kwenye maendeleo...
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sheria; Ndugu yangu kaangukiwa na tofali Kariakoo, wanagoma kumfidia

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
  5. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania G . Pop kutoka planet 2000 ANAHITA msaada

    FAMILIA YA MUZIKI TUUNGANE : MSANII G . POP WA CREW YA PLANET 2000 ANAHITAJI MSAADA WETU Habari za wakati huu Ndugu, jamaa na Marafiki pia kwa heshima na taadhima kwa niaba ya Familia ya Ndugu JAMES KADUMA, napenda kuwataarifu kuwa Mwana Iringa mwenzetu JAMES KADUMA (G. POP) kutoka kundi la...
  6. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  7. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani

    Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani hususani Tan choice au Union meat Group, je kwa namna ya upimaji wa mbuzi au kondoo Kwa kilo ipo faida yoyote?? Nauliza hivi kwasababu ni nyama pekee ndiyo inayopimwa,bei Kwa Kilo ni sh ngapi? Ngozi,vichwa na...
  9. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali

    Shikamoon wakubwa zangu. Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana. Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000 Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani...
  10. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria

    Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria. Kwa sasa teknolojia imekuwa na mambo yamebadilika sana. SWALI: Je? Kuna uwezekano wa kupata leseni ya kubeba abiria toka CHANIKA(Dar) mpaka MARANGU MTONI? (MOshi) Yaani nakula vichwa mdogomdogo panda shusha,huku...
  11. Vien

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana kuomba msaada; Kwangu kukwama si jambo la kawaida

    Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya mwisho kabisa, na huwa najitahidi nisiifikie. Kwa sababu hiyo, nimejifunza kuishi kwa mipango...
  12. Owen chimela

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya asili au dukani inayotibu jicho sugu

    Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa za asili nazo zimeshindwa kutibu tatizo kwa zaidi ya mwaka sasa. Naomba kwa mwenye uzoefu na tiba za...
  13. sepema

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Ajira portal

    salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia *Failed" na maneno flani chini yake. Kuna mtaalamu nilimshirikisha akadai inatokana na mimi kuwa...
  14. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Msaada, natumia Sony Xperia inanisumbua, nifanyaje?

    Habarini? Msaada. Natumia Sony Xperia, Model SOG08, Android 13. Nikifungua app yoyote, inakuja Chrome. Nikifungua app ya SMS, inakuja Chrome. Nikifungua app ya muziki, inakuja Chrome. Nifanyeje ili iwe kama zamani? Kwamba nikifungua app ya SMS nisome ujumbe, au nikifungua app yoyote ije...
  15. betting machine

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ai yawa msaada kwa wanafunzi wenye usikivu hafifu wanaopata shida kujifunza darasani, group discussions, videos, voice notes, n.k.

    Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi. Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu. Wanafunzi...
  17. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira, Vyuo, Mikopo na Nyaraka Mbalimbali

    MIMI NITAKUSAIDIA KWENYE MAMBO YAFUATAYO MUDA WOWOTE MIMI NI MTAALAMU NINA UZOEFU WA MIAKA MINGI NITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO UKIWA POPOTE 🔓 𝙺𝚄𝙵𝚄𝙽𝙶𝚄𝙰 𝙰𝙲𝙲𝙾𝚄𝙽𝚃 𝚈𝙰 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 & 𝚄𝚂𝙷𝙰𝚄𝚁𝙸 𝙺𝚄𝙷𝚄𝚂𝚄 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 💫Maombi ya Vyuo ( Degree,Diploma & certificate) 💫Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu...
  18. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, nimeachiwa jungu la pilau kwenye jiko la kuni

    Guys, msaada wa haraka nipo njia panda, ishu iko hivi nimealikwa na jirani yangu mtoto wake amepata ubatizo sijui kumunio hata sielewi, nikasema ngoja nijichanganye na majirani zangu hawa ndio kimbilio langu la kwanza, Sasa kama kawaida wanawake tumefika mapema kama kuna vikazi vidogo vidogo...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Kwa Yoyote aliekwama kupata Award Verification Number (AVN) number ✅ Anitext kwa 0622569980 Ni Bure na Kuelekeza tuu siiitaji hata mia mbovu . PIA wengine tunajua mambo ya application za Vyuo Tuwasaidie WENZETU
  20. Silent King

    JamiiForums Tanzania Ukimsaidia mtu huku unatarajia akulipe baadae hilo linakuwa deal na sio msaada tena

    "Msaada" dhidi ya "biashara" (ama mabadilishano). Mstari kati ya vitu hivi viwili mara nyingi umekuwa ukijipinda kwenye jamii, lakini ukiutazama kwa jicho la kimaadili na kisaikolojia, tofauti yake iko wazi sana. 1. Msaada Halisi (Altruism) Msaada wa kweli unatoka moyoni na kigezo chake kuu ni...
Back
Top Bottom