Msaada wa Kusajili Local Content Tume ya Madini Kupitia LCCSR-MIS

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
5,129
Reaction score
13,110
Wakuu wasalaamu.

Naomba anayeweza au anayejua anisaidie kwenye kusajili local content

Nimejaza taarifa zangu za Register kwa mfumo, ila sijapata hata email ya kuconfirm au kutengeneza log in credentials. Toka maombi yangu yapokelewe zimepita siku 3.

Ningeomba anayeweza kusaidia kujua namna naweza jua kama taarifa zangu, zimefika na kuweza kulogin kufatilia na kufanya usajili wa local content anisaidie. Maana kwa sasa kila nikijaribu naambiwa info zangu zimeshaingia siwezi sajili, nilogin kuendelea na log in haiwezekani.

Natanguliza shukrani
 
Gentleman,
hakuna namba ya huduma kwa wateja kwenye taarifa zao mbalimbali mitandaoni, hususani kwenye eneo ulilokua unaingiza taarifa zako?

kama zipo,
check nao nadhani wanaweza kukusaidia kwa uhakika zaidi 🐒
 
Ahsante nimeshafanya.
 
Wakuu msaada.
Nimetuma email kwa wahusika. Naona kimya
 
Back
Top Bottom