Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu?
Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
Anonymous
Thread
africa
kutoka
msaada
nina swali
serikali
south africa
swali
watanzania
The Jerusalem post Agosti 30, 2026.
Shirika la Africa Intelligence Report liliripoti kwamba wakati wa vita, viongozi waandamizi wa RSF walidumisha mawasiliano ya siri na Israeli huku wakikutana na maafisa kutoka Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli na wafanyakazi wa ujasusi wa...
Habari za maisha ndugu zanguni.
Naomba Kwa mtu au mtaalamu yeyoye anaeweza kinisaidia matibabu au dawa ya mawe kwenye nyongo bila upasuaji.
Nina mgonjwa wangu,ameenda hospitali amepewa dawa lkn Dakatari Kwa uzoefu wake amesema dawa zinaweza zisifanye kazi,hivyo njia nyingine ni kufanyiwa...
Mimi ni mtumishi wa Serikali ninayefanya kazi jijini Dodoma. Mke wangu pia ni mtumishi wa Serikali chini ya TAMISEMI, akifanya kazi katika Halmashauri moja mkoani Katavi kama Afisa Tabibu Daraja la II. Aliajiriwa mwaka 2022 na ilimlazimu kwenda kituo chake cha kazi akiwa ameambatana na watoto...
Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.
Wakatoliki Kipalapala n.k.
Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.
Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.
Mbona YESU wakati analeta...
Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria.
Tunapokwenda kuulizia kwa kiongozi wa kituo, mara nyingi tunapokea majibu yasiyoridhisha, ikiwemo...
Habari wanajamvi,
Naomba kufahamishwa ni gharama kiasi gani za ushuru na mapato ya TRA nitalazimika kulipa endapo nitanunua gari either mpya or used kutoka upande wa pili wa majirani zetu hapo Zambia? Na je inaweza kua nafuu kidogo ukilinganisha na ukiagiza kutoka japani kupitia bandari yetu ya...
Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali...
Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha
Habari wana JF,
Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada.
Wengine wana...
Je niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye gari namba T 449 DPF
Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣
Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
Wanabodi bila shaka mmamka salama na kuanza week hii mpya. Dua ziwaendee wale wenye changamoto.
Niruke kwenye mada moja kwa moja.
Nataka kujua utaratibu wa kusajili brand na kupata hakimiliki (copyright) hapa Tanzania. Mchakato unaanzaje, na ni vitu gani vinavyohitajika?
Nataka ins and out...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman
Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi
Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika.
Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia...
Wakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo...
Baada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine.
Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka.
Nyege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.