Msaada wa kozi ya afya ya kusoma kwa ufaulu huu

Msaada wa kozi ya afya ya kusoma kwa ufaulu huu

Erickmchoraji

New Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
2
Reaction score
3
Habari ndugu zangu !
Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step.
GS - S
Physics - D
Chemistry- C
Bio - C
Bam - C
  • Anapenda mambo ya afya sana, sasa je ufaulu utamruhusu ?
  • Chuo gani bora kwa kozi hizo hapa Tanzania ?
  • Gharama / mkopo nini kifanyike ?
Asante

1783422438249.png
 
Hongera kwa ufaulu wake,
Linapokuja suala la kozi za afya hasa vyuo vya serikali, huo ufaulu ni mdogo kwa ngazi ya degree.
Kama anataka sana kwenda course za afya, aanzie ngazi ya diploma.
 
Habari ndugu zangu !
Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step.
GS - S
Physics - D
Chemistry- C
Bio - C
Bam - C
  • Anapenda mambo ya afya sana, sasa je ufaulu utamruhusu ?
  • Chuo gani bora kwa kozi hizo hapa Tanzania ?
  • Gharama / mkopo nini kifanyike ?
Asante

View attachment 3624230
Aende akasome bachelor of nursing.
 
Medical laboratory science
MD ila competition kubwa
Nuyrsing
 
Akasome Bachelor ya nursing (ila kwa vyuo vya serikali competition ni kubwa), so kama mfuko uko vizuri aende ata private. Ikishindikana hiyo arudi zake Diploma Akasome Nursing and midwifery.
 
Back
Top Bottom