msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SACO

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufadhili wa masomo kwa huyu binti

    Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa kupata division one na kachaguliwa kwenda kusoma kidato cha tano Arusha. Ana mama yake ambaye hana uwezo...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi ya afya ya kusoma kwa ufaulu huu

    Habari ndugu zangu ! Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step. GS - S Physics - D Chemistry- C Bio - C Bam - C Anapenda mambo ya afya sana, sasa je ufaulu utamruhusu ? Chuo gani bora kwa kozi hizo hapa Tanzania ? Gharama / mkopo nini kifanyike...
  3. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

    Ndugu zangu wanajf, Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana. Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa. Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini...
  4. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kusajili Local Content Tume ya Madini Kupitia LCCSR-MIS

    Wakuu wasalaamu. Naomba anayeweza au anayejua anisaidie kwenye kusajili local content Nimejaza taarifa zangu za Register kwa mfumo, ila sijapata hata email ya kuconfirm au kutengeneza log in credentials. Toka maombi yangu yapokelewe zimepita siku 3. Ningeomba anayeweza kusaidia kujua namna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  6. basi sasa

    JamiiForums Tanzania Sipati haja kubwa

    Habarini wakuu Nahitaji msaada wa kiafya siku hizi, naweza imaliza siku bila kuingia mwakani kwa maana ya haja kubwa. Je, hilo ni tatizo au ni kawaida
  7. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Forex imenifilisi, nauza monitor yangu 🙏 naombeni msaada wenu

    ...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kariakoo sehemu gani ni bigfish wa laptop ?

    Naombeni msaada nataka niwe winga wa laptop ila sijui chimbo naombeni mnielekeze wapi?...kwa kariakoo
  9. O

    JamiiForums Tanzania MSAADA JUU YA KUAPLY LESENI YA CLINIC MEDICINE PAMOJA NA AVN Number

    👉Habari tunafanya application za Maombi ya leseni za Afya Clinical medicine Hprs, Pamoja na Avn number, 👉Pia Application za Vyuo 👉 Application za Maombi ya Mkopo WA elimu ya juu 👉 Application za vyeti vya kuzaliwa Rita pamoja na UHakiki WA vyeti Contacts 0622569980
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari

    Hivi kama aridhi ilipimwa kwa upimwaji shirikishi, then mtu akanunua kufuatilia kiwanja ulichonunua kimeingiliana na kiwanja cha mwingine(vyote vilipimwa kwa shirikishi) Swali: inawezekana kukisajiri upya hicho kiwanja na nikapata hati yake? na kama ndio kipi kifanyike kwanza
  11. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Msaada akaunti ya bolt kufungiwa

    Habarin wana JF Naomba nieleze kidogo changamoto yangu iliyonikumbuka Wenda Kuna wajuzi wanaweza nisaidia ndani humu. Mwezi wa tano nilisafiri kwenda mkoa kwaiyo nilikuwa na pkpk ambayo ilikuwa inafanya shughuli za bolt kwa ajiri ya kujipatia kipato Basi Kuna kijan nikamuachia pikpk aendelee...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiriwa wapya wa Sekta ya Afya Halmashauri ya Ulanga tunateseka na pesa za kujikimu

    Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii. Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu malipo ya posho zetu za kujikimu. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka ili tupate haki zetu kwa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

    Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa. Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe. Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao. Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
  14. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Chuo Direct: Msaada Kamili Waombaji Vyuo

    KARIBU CHUO DIRECT* Hiki ni Kikundi Rasmi cha Msaada kwa Waombaji wote wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania. Huduma Tunazotoa: 1. Mikopo ya HESLB- Maombi kamili, marekebisho ufuatiliaji 2. Uhakiki wa Vyeti - Vyeti vya kuzaliwa. 3. Namba za AVN & Loss Reports - Tunakusaidia kuipata kwa...
  15. basi sasa

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Kuna huu utaratibu wa kure-new vyeti vya kuzaliwa kulikoni kwani hivi vipya vipoje
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mkishakuwa wahalifu muwezi kupelekana kwenye haki wala kunyoosheana vidole sehemu za wazi.

    Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025. Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake. Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi wakubari siri zao zitakuwa kama zile za marehemu polepole alivyofanya. Ni ngumu kwa raisi kuwa mkali...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Alsaedy High Class Bus: Begi langu limepotea, Msaada Hakuna

    Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja. Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar. Mnamo tarehe 9/6/2026 nilisafiri na familia yangu kutoka Dar es salaam na bus la Alsaedy linalotoka...
  18. prida

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mosaic Tiles naomba msaada wenu.

    Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles. Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika kwa kutumia cement.? Fundi wangu kasema ninunue cement na dukani nilikonunua hizo ndude wanasema...
  19. nipo online

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kabla sijatepeliwa

    Vikoba kwa njia ya m koba ya voda jamaa wanatangaza kule fb je hivi inawezakena? Mimi nimeishia nae kwenye chati sasa sijamwelewa nisaidieni https://www.facebook.com/reel/857641280753316/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Salary scale ya TGFPS 1

    Msaada tutani Salary scale of TGFPS 1
Back
Top Bottom