Msaada: Rav4 kilitime kuzima ghafla

Msaada: Rav4 kilitime kuzima ghafla

suley hazard

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
62
Reaction score
117
Habari wana jukwaa,
Naomba msaada wenu kwa wenye uzoefu na Rav4 kilitime (rav4 2nd generation), engine ya gari imekua ikizima ghafla especially wakati wa kupark, wakati ninapunguza mwendo kuhama njia au nikiwa na shift gear kutoka D kwenda R au N.

Nimejaribu kusafisha sensor zote muhimu kama O2 sensor, MAF sensor na pia tumefanya diagnosis ya gari kwa mashine haikuleta fault yoyote.
Gari huzima engine tu ila functions nyingine Za umeme hazizimi huendelea kuwa active. Naomba kuwasilisha.
 
Mwambie fundi wako atizame fuel pump
 
Back
Top Bottom