Hivi kwanini mtu akitoa msaada lazima apige picha na mpokeaji?

Hivi kwanini mtu akitoa msaada lazima apige picha na mpokeaji?

Mbona Mimi nikitoa msaada sipigi picha na mpokeaji?

Au Mimi siyo mtu? 🤔
 
Ukiona hivyo ujuwe wapokeaji ndo mtaji watu hutoa msaada wakitegemea kupata zaid ya walivyotoa
 
This is called influencing people to do good things,
And there is nothing wrong with that.
 
Back
Top Bottom