Msaada kwenye mfumo wa idras

Msaada kwenye mfumo wa idras

Malika 26

Member
Joined
Jan 17, 2026
Posts
24
Reaction score
34
Habari zenu nahitaji msaada ni wapi nitapata mafunzo ya IDRAS
Iwe ni sehemu, taasisi, au ofisi itakayonisaidia jinsi ya kujifunza mfumo Kwa vitendo
Natanguliza shukrani na pia napokea ushauri wowote unaolenga kunisaidia
 
Ningejua mkuu ningekuelekeza hata sijui IDRAS ndo nini

KWAKHERI...
 
Habari zenu nahitaji msaada ni wapi nitapata mafunzo ya IDRAS
Iwe ni sehemu, taasisi, au ofisi itakayonisaidia jinsi ya kujifunza mfumo Kwa vitendo
Natanguliza shukrani na pia napokea ushauri wowote unaolenga kunisaidia
Kuna video za kuiifunzia zimo humo humo kwneye IDRAS unapakua zinaelekeza kila kitu kwa vipengele unavyotaka, kiufupi zinatoa elimu
 
Kuna video za kuiifunzia zimo humo humo kwneye IDRAS unapakua zinaelekeza kila kitu kwa vipengele unavyotaka, kiufupi zinatoa elimu
Nimeangalia video lakini sijapata kuelewa ninaoutaka nikimaanisha sijaridhishwa na online training natafuta mtu wa kunifundisha physically
 
Tembelea Ofisi Za TRA Zilizo Karibu Nawe Utaelekezwa Bure
 
Sijawahi kutumia mfumo uliopita
Sawa,ungekua umeshautumia huu IDRAS Ingekua ni kugusa tu,ingia Facebook andika IDRAS utakutana consultants wengi tu wanatoa training hizo.Both virtually au physically
 
Mfumo wa online wa kulipa Kodi TRA
Kikubwa uzielewe zile modules

Kilichoongezeka humo ni ku create zile batches za PAYE na WHT
-Kufile stamp duty
-kuissue EFD receipt
-ku cancel EFD receipt
Na kucheki zile reports za SALES,PURCHASES NA Z-report na kuomba Tax clearance.

Japokuwa kipengele cha Tax position kilikuwepo lakini naona bado kiko under maintenance.
 
Idras inafanya mambo mengi ya kikodi
Ili ueleweshwe ulipokwama inapaswa ueleze unataka kufanya kitu gani
 
Back
Top Bottom