msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Waangalia Movie naombeni msaada wenu

    Kuna movie niliangalia miaka kidogo imepita ila jina siikumbuki, naomba nisimulie kidogo story kisha kwa atakaeweza ifahamu naomba anisaidie kukumbuka jina la movie. Story inaanza (ntasimulia nilipoikutia tu) kwahiyo mtaniwia radhi kama nitakuwa nimejichanganya changanya. Kuna mdada mmoja...
  2. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

    Habarini na poleni na majukumu, Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine). Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia sana ila leo imebidi niulize, hivi mtu anakupaje msaada wa Trilioni 1.5 wakati nchini kwake kuna watu wanalala nje na kufa njaa?

    Nimekuwa najiuliza sana hili swali bila majibu ya uhakika, hivi haya mataifa yanayojiita donor countries, huwa wanatupa hii misaada kwa misingi na madhumuni yapi hasa? Na kwanini wanapotupa misaada huwa tunasainishana mikataba ya msaada? hivi huo ni msaada au tunawauzia kitu hadi tusainishane...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anahitajika mtaalamu wa kutengeneza flash uliyoharibika

    Wakuu natumaini ni wazima wote. Flash yangu ilianguka ikiwa kwenye DVD player hivo kupelekea kutokusoma. Naomba anayeweza kunirekebishia tuwasiliane.
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) waridhia kuipa Tanzania msaada wa Bilioni 132 uliokuwa umezuiwa

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubali kuruhusu kutoa Sh132 bilioni kwa ajili ya kuchangia bajeti ya maendeleo ulizokuwa umezizuia. Uamuzi huo ulitangazwa jana baada ya Rais John Magufuli kufanya mazungumzo na balozi wa EU nchini, Manfred Fanti Ikuku jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya nchini kunufaika na msaada wa Dola za Marekani Milioni 600 (takriban Tsh. Trilioni 1.4) kutoka Global Fund

    Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika kipindi cha miaka mitatu. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria: Nimepandishwa cheo ila bado mshahara wa zamani

    Heshima kwenu wakuu. Naomba ushauri wa kisheria. Ninafanya kazi kampuni binafsi. hawa wanaoitwa wawekezaji. Mwaka 2018, miezi kama 18 iliyopita nilipandishwa cheo.Cha ajabu nimeendelea kulipwa mshahara uleule wa cheo cha zamani na kila nikimuambiwa muajiri wangu anachukulia poapoa. Vilevile...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Usikute fedha nyingi zinazoitwa za msaada ni zile zinazoenda kwa wanaharakati!

    Tunaweza kuwa tunapewa sifa ya kuwa nchi tegemezi ya uhisani kumbe kwa kiasi kikubwa fedha hizo za uhisani zinaenda kwa NGOs za wapigaji wachache zinazofanya kazi zisizo na tija ya maendeleo endelevu. Serikali ya Magufuli inataka mikopo itakayokuja kuinua maendeleo vijijini haswa. Nashauri...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msaada wa majibu ya hili swali

    Je, kutoka kuwa Msemaji wa Serikali na kuwa Katibu wa Wizara ni Kupanda Cheo au ni Kushushwa Cheo? Na naomba Majibu ambayo yatatolewa hapa na Wadau basi Mhariri wa Gazeti la Serikali la Habari Leo ayapitie kwa Umakini mkubwa sana tafadhali.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

    Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi. Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa marekebisho ya taarifa za NIDA

    Wakubwa mdogo wangu alijiandikisha NIDA mwezi December mwaka jana leo ameenda kuangalia kama namba yake imerudi ila ameambiwa eti aanze process upya kwa kuwa jina lake lilikosewa kwahiyo namba haiwezi kurudi. Hivi ni kweli mtu ambaye jina lake limekosewa anatakiwa kuanza process upya au jamaa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu nikiitumia kwa muda inazimika na haiwaki muda huo huo. Shida ni ninI?

    Msaada laptop yangu inazima zima nikitumia kwa muda na ikizima nikijaribu kuiwasha muda huo huo haiwaki mpaka nisubiri kwa muda ndio iwake tena. Kwa mjuzi wa haya mambo shida ni nini?
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana mwenye dharau na majivuno na kudhalilisha wengine kwa vile una kadi ya CCM na uongozi wa kupewa jiangalie! CCM haina msaada wowote

    Hili ni angalizo ambalo nalipeleka moja kwa moja kwa vijana wachache ambao bado ni wanaCCM, maana vijana wengi wameachana na hicho chama, vijana wa CCM wa hapa JF na kwingineko nawaomba sana mtambue kwamba CCM haina nia wala uwezo wa kuwasaidia mnapopata matatizo , tena matatizo yenyewe ni yale...
  14. OSAM

    JamiiForums Tanzania Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Wadau hivi majuzi nilishikwa na kama kichomi fulani hapa juu ya tumbo yani katikati ya tumbo na kifua sikulala kabisa usiku wake. Sikuwahi kutokewa na hali hii hiyo ndiyo ilikua mara ya kwanza. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kwa sababu nilikua na safari ya muhimu sana. Nilijaribu...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yahitaji msaada wa chakula

    Ukame mkali wa mara kwa mara unaoikumba nchi ya Ethiopia umepelekea watu takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula. Baraza la uratibu wa majanga nchini Ethiopia limearifu kwamba watu milioni 7 katika nchi hiyo wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1. Katika taarifa hiyo iliarifiwa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Natokea Dar es Salaam kwenda Udzungwa naomba ushauri wa basi zuri la kupanda

    Habari nataka kutumia public transport kutoka DSM to udzungwa msaada mabasi yapi ndio uhakika. Luxury sanasana
  17. Damian J Ntundagi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu mayai ya kienyeji

    Habari zenu ndugu wafugaji naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua mayai ya kuku wa kienyeji pure yanayofaa kutotoreshwa kwenye incubator maana nikiweka mayai 100 yameanguliwa 42 tu.
  18. mipangoMikubwa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa idea ya ICT new projects

    hello za wekend wakuu, Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina intelligency part ndan yake. kwenu wakuu
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Masharti ya pass za chini za kujiunga na kozi ya cheti ya Famasia

    Nina kijana wangu anataka kujiunga na kozi ya famasia ngazi ya cheti. Ana kemia - D, Bailojia - C na fizikia- F. Je anaweza kujiunga na kozi hiyo ngazi ya cheti? Kama likitupiwa karatasi toka wizara ya elimu kuhusu minimum qualification za kujiunga na kozi hiyo itapendeza sana. Natanguliza...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa business proposal

    Naomba msaada wa business proposal kwenye field hizi general supply/asset identification & codification/courier services. My email info@ecalimited.Com au hata mwenye link anaweza akadrop hapa.
Back
Top Bottom