msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada ni mara ya pili sasa mbegu za nyanya chungu hazioti

    Habari zenu, naombeni msaada tafadhali. Ni mara ya pili sasa, na pia mbegu za nyanya chungu hazioti jamani pakiti linakaribia kuisha hata mche mmoja sijapata! Vilevile na pilipili hoho zimegoma!! Naombeni mnisaidie nijue nakosea wapi ndugu zangu. Asanteni.
  2. impongo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, ujambazi unavyoshamiri Chato raia wanakosa msaada

    Siku ya tarehe 2, August, 2016 nilikiwa katika mji wa Mganza wilaya ya Chato nilishuhudia mfanya Biashara akitekwa na kuibiwa pesa million nane 8 Tshs. Mfanya biashara huyo bwana Kamba Tassian alipigwa na kutekwa na kunyanganywa pesa baadae alienda kituo cha Police kutoa taarifa lakini hakuna...
Back
Top Bottom