Msaada: Anahitajika mtaalamu wa kutengeneza flash uliyoharibika

Msaada: Anahitajika mtaalamu wa kutengeneza flash uliyoharibika

mwanamimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
265
Reaction score
181
Wakuu natumaini ni wazima wote. Flash yangu ilianguka ikiwa kwenye DVD player hivo kupelekea kutokusoma. Naomba anayeweza kunirekebishia tuwasiliane.
 
Mkuu ni 4gb pia kuna data muhimu sana kwenye frash iyo.
 
Ukiwa na data zako muhimu jitahidi uhifadhi kwenye Cloud Storage, ni salama sana kwa 80% tofauti na hizi Second Storage Devices.
 
nina flash ya GB 64, yenyewe nikijaribu kuformat inaonesha ina MB 8, hata kwenye disk management pia inaonesha ina MB 8, je kuna njia yoyote ya kutatua hii?
 
nina flash ya GB 64, yenyewe nikijaribu kuformat inaonesha ina MB 8, hata kwenye disk management pia inaonesha ina MB 8, je kuna njia yoyote ya kutatua hii?
Tumia tool ya manufacture na format kwa low level, windows ama simu haiwezi flash vizuri kwa situation fulani fulani.
 
Wakuu natumaini ni wazima wote. Flash yangu ilianguka ikiwa kwenye DVD player hivo kupelekea kutokusoma. Naomba anayeweza kunirekebishia tuwasiliane.
Kama inakuwa detected, basi uwezekano wa kupona upo mkubwa na usalama wa data kurudi kwa 80%
 
Back
Top Bottom