Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,699
- 2,455
Habari zenu ndugu wafugaji naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua mayai ya kuku wa kienyeji pure yanayofaa kutotoreshwa kwenye incubator maana nikiweka mayai 100 yameanguliwa 42 tu.