Ethiopia yahitaji msaada wa chakula

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Ukame mkali wa mara kwa mara unaoikumba nchi ya Ethiopia umepelekea watu takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula.

Baraza la uratibu wa majanga nchini Ethiopia limearifu kwamba watu milioni 7 katika nchi hiyo wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1.

Katika taarifa hiyo iliarifiwa kwamba mabadiliko ya tabia nchi na hali ya ukame wa mara kwa mara umeathiri vibaya uchumi na maisha ya watu.
 
2014 Tulifika Ethiopia kitaaluma. Aysee kuna matabaka mengine neno shida hawajui kabisa...
Lakini walio wengi wanahitaji msaada mkubwa wa kibinadamu..
 
Ndege, Bwana La Umeme Na Train Ya Mwendokasi Havijasaidia Kuleta Pesa Ya Kununua Chakula ?
 
Back
Top Bottom