Msaada wa idea ya ICT new projects

Oct 24, 2019
34
32
hello za wekend wakuu,

Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina intelligency part ndan yake.

kwenu wakuu
 
nakushauri uje na project itakayo fanya kazi kama masijara.

natumaini kama umewahi kwenda kwenye ofisi za serikali halmashauri au mkoani utaona jinsi mambo yanavyofanyika too local, nyakati nyingine unakuta kama ni barua au document wamepoteza au wanatumia muda mretu kuitafuta, so ukija na project ambayo itadigitize zote hapo utaweza kuiuza kwa government, japo kwa serikali yetu hii unaweza tumia muda mrefu kuwashawishi lakini italeta suluhusho zuri sana. ikiwa utakuwa interested naweza nikakusaidia ku plan features za kuwepi kwenye hiyo system
 
asante mkuu
 
kaka

naomba japo hizo feature me nizichimbe
 
hello za wekend wakuu,

Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina intelligency part ndan yake.

kwenu wakuu
Hi, a great weekend to you too!

I have so many good ideas for you, check out my post about brilliant android app ideas
 
Back
Top Bottom