Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,891
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.

Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.

Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ulinzi Mh Mwinyi.

Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.

Source: ITV Habari
 
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.

Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.

Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi ya Kunduchi na mgeni rasmi alikuwa waziri wa ulinzi mh Mwinyi.

Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Mkuu wa majeshi General Mabeho na Naibu balozi wa Marekani nchini.

Source ITV habari
Jombaaa katika salamu za pongezi wamegusia pia na tume huru ya uchaguzi uliskia au lugha gongana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha ujinga wewe vifaa ni kwa ajili ya kuenda kulinda amani kwenye nchi zenye amani tete. ccm yamedakia mada tu kwa kuwa vimepita bandari ya dar.
Mbwiga Kikosi cha kulinda amani magari yao ni meupe na yana nembo ya UN.

Msaada wa leo ni wa JWTZ.
 
Back
Top Bottom