Msaada kwa marekebisho ya taarifa za NIDA

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,488
Wakubwa mdogo wangu alijiandikisha NIDA mwezi December mwaka jana leo ameenda kuangalia kama namba yake imerudi ila ameambiwa eti aanze process upya kwa kuwa jina lake lilikosewa kwahiyo namba haiwezi kurudi.

Hivi ni kweli mtu ambaye jina lake limekosewa anatakiwa kuanza process upya au jamaa wameamua tu kumzingua,mwenye taarifa sahihi azimwage hapa ili ziwasaidie na wengine wenye tatizo kama hili maana NIDA hawana muda wa kumuelekeza mtu mpaka akaelewa.
 
Sasa maelezo ya NIDA na ya JamiiForums yapi yanapaswa kuaminika? Wapigie simu Makao Makuu kama haujawaamini hao waliokuambia. Namba za simu huwa zipo kwenye vituo husika vya NIDA.
Simu zao huwa hata kuita haziiti na hata website yao ambayo inekuwa na maelekezo ya kuwasaidia watu iko offline zaidi ya miezi sasa
 
Wakubwa mdogo wangu alijiandikisha NIDA mwezi December mwaka jana leo ameenda kuangalia kama namba yake imerudi ila ameambiwa eti aanze process upya kwa kuwa jina lake lilikosewa kwahiyo namba haiwezi kurudi.

Hivi ni kweli mtu ambaye jina lake limekosewa anatakiwa kuanza process upya au jamaa wameamua tu kumzingua,mwenye taarifa sahihi azimwage hapa ili ziwasaidie na wengine wenye tatizo kama hili maana NIDA hawana muda wa kumuelekeza mtu mpaka akaelewa.
Njoo nikupe namba zangu zikusaidie mkuu
 
Back
Top Bottom