Wakuu kweli hapa nina mke ?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,488
Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka

Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu

Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya STAMINA kwa aliyekuwa wife wake
 
Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka

Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu

Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya ROMA

Kabila gani kwanza tuanzie hapo?
 
Cha kufanya ni wewe kuongea nae na kumweleza ni namna gani haupendi hiyo tabia.
Baada ya hapo akiendelea ndio utafute njia nyingine.
Kila nikiongea naye hanielewi kabisa zaidi ya kujichekesha chekesha na hivi vidimpozi vyake
 
Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka

Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu

Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya ROMA

Jibu la swali lako ni kuwa una mke na siyo mume. Kuhusu tabia yake, mvumilie tu na kumwelekeza atabadilika tu. Bado hajajitambua kuwa kaolewa.
 
Mpango wangu nataka nimuanzishie dozi ya makofi nione kama itasaidia
 
Back
Top Bottom