Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

vee15

Senior Member
Aug 8, 2016
118
225
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia?

Asanteni
 
rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,079
2,000
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia?

Asanteni
Boss wameshaanza kuita watu kwenye interview?
 
May 29, 2020
30
95
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia?

Asanteni

Shukran !! Hawataweza Kukuuliza by what means customer officer anatakiwa Kufanya bali utauliza what is TRA na kazi Yake kubwa hasa Nn Nchini Na Customer officer kazi Yake Ni ipi?
 
Mtomawe

Member
Feb 3, 2019
82
125
Maswali ni manne tu na muda ni dakika 40.
Research ni swali moja ila haijulikan utaulizwa vipi, kikubwa ni kuwa makini tu na wanachokitaka.
Maswali matatu yanatoka kwenye kada/field yako husika.
Research hua hawatoi kwa watu waliosoma accounts
 
Mtomawe

Member
Feb 3, 2019
82
125
Ninasema hivyo Kwasababu Nimeshawahi fanya Written interview
written ya utumishi au? kama hivyo mlipata bahati sana,mimi nimeshafanya intervw nyingi utumish sijawah kukuta maswali marahisi hivi kwenye written,sana sana nachojua ukienda oral swali la kwanza ni introduce yourself,la pili mention duties za kazi ulioomba baada ya hapo ni maswali mengine ya darasani tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom