Msaada jinsi ya kupata Chrome Cache File

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
318
250
Habari wakuu,

Naomba msaada kujua jinsi ninavyoweza kupata file lenye orodha ya cache zote za browser ya chrome tangu nilipoanza kutumia hii browser.

Nimejaribu about//:cache lakini inaonekana function hii iliondolewa.

Kuna njia nyingine au third-party software ya bure? Na pili je kama nilifute cache (clear cache ) nawezaje kuzirudisha?

Natanguliza shukrani.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,063
2,000
kama ulikuwa na cleaner yoyote ujue cache huna, ngumu sana hizo kukaa muda mrefu.
hii path ya cache
\AppData\Local\Google\Chrome\User Data\Default\Cache.

kuipata appdata nenda local disk c kisha user kisha chagua jina lako, yatakuja mafolder kama music, download, video etc, click view kwa juu kisha tick show hidden folders utaona folder la appdata linatokea. kama una windows ya kizamani ama os nyengine google namna ya kuonesha hidden files/folder
 

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
318
250
Shukrani wakuu na samahani kwa kutokujibu kwa wakati. Nilitingwa kidogo na masuala ya kifamilia. Nitafanyia kazi na nikikwama nitarudi tena.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom