masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,734
- 12,603
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Nahisi nitadondoka muda wowoteTalaka ni ruhusa au amri ya mahakama ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzi wake. Mahakama ndio chombo pekee chenye
mamlaka ya kutoa talaka.
Pole sana mkuu
Pole tena mkuu, na kwakuwa maisha yako tayari umetambua kwamba yapo mikononi mwako, basi sidhani kama nivyema kuvumilia hata unapo ona roho inakutoka just because of human being.Nahisi nitadondoka muda wowote
Namuwazia tu mwanangu ndo maana napata nguv ya kuamka asubuh
Usipojali ntakuunga na mtaalamuMawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Mkuu umeandika point kubwa sana hapa. Huwezi kuishi huna amani kwa ajili ya kuvumilia jambo flani. Hakuna kitu muhimu kama kuishi ukiwa na peace of mind.Pole tena mkuu, na kwakuwa maisha yako tayari umetambua kwamba yapo mikononi mwako, basi sidhani kama nivyema kuvumilia hata unapo ona roho inakutoka just because of human being.
Uhai wako una thamani sana kwaajili ya mwanao mwenye ujitaji wako, na hata ndugu zako bado wanakupenda zaidi.
Sina la kukushauri, lakini niwajibu wangu kuku kumbusha kwamba maisha/pumzi yako ina thamani kubwa kuliko mtesi wako. Hapa namaanisha usilzimishe kuvumilia mtu/kitu ambacho unaona kabisa kwamba kinaweza kikakukatisha uhai wako.
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Mi napendaga kusoma ili neno "gangamara" huwa unalipenda sana?Pole sana gangamara ili upite salama kwenye hili janga.
Fuata ushauri huu...wakati huo ukiwa umeshaondoka hapo na umejihakikishia usalama wako.kabla ya kwenda mahakamani lazima mpitie kwenye mabaraza ya usuluhishi yanayopatikana makanisani, misikitini, au ustawi wa jamii.
Huko mtapewa cheti konesha kuwa usuluhishi umeshindikana.
Mtaenda mahakamani kuvunja ndoa, kugawana mali na malezi ya mtoto/watoto.
Sababu za kuvunja ndoa.
1. Ukatili.
2. Zinaa.
3. Kushindwa kutoa tendo la ndoa.
4. Kutengwa kwa muda mrefu.
ect.
Mahakama haitavunja ndoa bila kwanza kupitia hatua za usuluhishi.
Ndoa ikishavunjwa mtapata hati rasmi ambayo mtasajili Rita.
Tafuta wakili akuongoze.
Mi napendaga kusoma ili neno "gangamara" huwa unalipenda sana?
Mtafute Joyce kiria au Master Jay wana uzoefu, Chukua talaka mapema yasije kutokea ya kimara(Mercy) au Geza Ulole(Gunia mbili za Mkaa).Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri