Trump aweka wazi "Hata uwe hali gani bado unahitaji msaada wa bosi ambae ni Yesu"

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026

Hakuna rais anaechezewa Rafu mbaya sana kama Trump, Ila cha kushangaza ni Kwamba Rais huyu huibuka kidedea na kuwaacha wengi midomo wazi ni vipi na kawezaje kuhimili mishale mingi kiasi hiki.

Siri ni Moja Tu, Trump Anamtanguliza sana mungu ambae ni Mwema mwenye rehema, Asiepatwa na usingizi waa kuchoka kutujali na Mwepesi wa kutusamehe Dhambi zetu tunapozitubu Mbele yake

Sio kitu kigeni kwa Trump kuwa muumini mzuri tu wa ukristo, Wachungaji wameenda ikulu kumuombea, Alisikitishwa sana na kitendo cha kanisa kuchomwa moto, Ni mhudhuriaji wa kanisani na anamsifu Mungu.

Ni majuzi hapo kaweka wazi hii Dunia tuwe kwenye Mateso ama bila Mateso bado msaada wa bosi hauepukiki na hakuna mtu maarufu kama Yesu.
 
TRUMP bonge la kiongozi! Very rare kukuta viongozi wa leo hususan wa big nations kama US kukiri tena hadharani Jina Kuu la Yesu; "msaada wangu utatoka wapi? Utatoka kwake yeye aliye juu; yeye liyeziumba mbingu na nchi". Sio yule mwingine kazi yake ilikuwa kuhubiri na kufungisha ndoa za mashoga WH.
 
Kwa damu ya Yesu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom