MSAADA WA PC YANGU

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,656
1,770
Wakuu habari za Jumapili!
Naombeni msaada wenu pc yangu niliifungua kwa ajili ya kuisafisha, baada ya kuifunga kila ninapoiwasha inatoa ujumbe YOUR PC RAN INTO A PROBLEM AND NEEDS TO RESTART.
Nimejaribu kila namna had kureset window bila mafanikio.
 
sawaa Mkuu me sio mtaalamu sanaaa ila kama machief hawatakuj kuchangia nitamuuliza It mmoja iv mshikaji wangu nitakuletea feedback... nitapita mida kuchek
 
Wakuu habari za Jumapili!
Naombeni msaada wenu pc yangu niliifungua kwa ajili ya kuisafisha, baada ya kuifunga kila ninapoiwasha inatoa ujumbe YOUR PC RAN INTO A PROBLEM AND NEEDS TO RESTART.
Nimejaribu kila namna had kureset window bila mafanikio.
hili tatizo lishawah nitesa pia ila mwisho wa siku niliposhusha window ikakubali, nikakaa kama mwez likarudi tena nikashusha ikakubal tena mpaka sasa ni miezi 3, ila sijui kama kushusha window ni suluhisho lake sahihii.
Chief-Mkwawa njoo uokoe jahazi huku
 
Hakikisha connection zote zipo vizuri za cable zote ulizochomoa kwenye motherboard

Alaf errror code ni ngap? Inaandikaga error code kwa chini pale. Ebu itume
 
pole sana boss ifungue hiyo mashine kisha kagua vizuri kama cable zako zimekaa vizuri kisha angalia ram yako isafishe kwa kutumia ufutio wa penseli
 
Mie desktop yangu mouse na keyboard zinasumbua sn cursor inacheza but ukitaka kuclick kitu chochote kile haifanyi kazi na hata keyboard pia botton zinagoma but ukirestart itafanya kama sekunde kadhaa hv then tatizo linarudi tena nimejaribu kupiga window ila bado tatizo pale pale naombeni ushauri wenu
 
Nenda kwenye website ya pc yako download drivers kisha install.
 
Tumia windows installation driver au cd kuingia kwenye safe mod au Command prompt.

Jaribu kutumia safe mode kwenda kwenye troubleshooting option ili kuscan problem ikipata chanzo cha tatizo then itajaribu kufix automatically.

Hapo hapo ukiwa kwenye safe mod nenda kwenye search bar ya windows type command prompt then run as administrator baada ya hapo kwenye command section type "CHKDSK" then press enter subiri imalize then restart pc kama disk ina tatizo hiyo itakwambia na itajaribu kurekebisha.

Kama haijakubali.
Restart tena pc press f2 then nenda kachek kama hdd disk ni nzima.
Press harddrive check subiri dk moja.

Ila kama hddcheck ikisema failed maana yake hdd inakaribia kufa hivyo tafuta nyingine ondoa data zako.
Pia jaribu memory test labda ram ina tatizo.
 
Shukran sn mkuu nitafanya kama ulivyosema
Tumia windows installation driver au cd kuingia kwenye safe mod au Command prompt.

Jaribu kutumia safe mode kwenda kwenye troubleshooting option ili kuscan problem ikipata chanzo cha tatizo then itajaribu kufix automatically.

Hapo hapo ukiwa kwenye safe mod nenda kwenye search bar ya windows type command prompt then run as administrator baada ya hapo kwenye command section type "CHKDSK" then press enter subiri imalize then restart pc kama disk ina tatizo hiyo itakwambia na itajaribu kurekebisha.

Kama haijakubali.
Restart tena pc press f2 then nenda kachek kama hdd disk ni nzima.
Press harddrive check subiri dk moja.

Ila kama hddcheck ikisema failed maana yake hdd inakaribia kufa hivyo tafuta nyingine ondoa data zako.
Pia jaribu memory test labda ram ina tatizo.
 
Wakuu habari za Jumapili!
Naombeni msaada wenu pc yangu niliifungua kwa ajili ya kuisafisha, baada ya kuifunga kila ninapoiwasha inatoa ujumbe YOUR PC RAN INTO A PROBLEM AND NEEDS TO RESTART.
Nimejaribu kila namna had kureset window bila mafanikio.
Nunua ufuto wa kalamu kisha safisha ram halafu zipachike toa cmos betri Kisha washa halafu zima, washa tena ingia katika bios weka default settings, rudisha cmos betri iwashe.
 
Asante mkuu japo nimepiga window upya na problem solved.
 
Back
Top Bottom