Msaada, Kuhusu Kusoma CPA

Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
864
1,000
Kwema Ndugu Zangu?

Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine majukumu mapya zaid katika fani hiihii ya Uhasibu.

Nilichopanga ni kusoma CPA. Sasa msaada naouhitaji ni kama ifuatavyo,
1) Materials
Nitaanzia Intermediary, na nitaanza January. Lakin ningependa nianze kuyapitia kwanza hata nijikumbushe ikifika January nisione mambo mageni.

2) Ushauri juu ya masomo ya kuanza nayo. Ingawa naanzia module E lakin sizan kama nitaweza masomo yote 5. Napanga nianze machache nije nimalizie mengine.

3) Ushauri juu ya Center na affordable. Pia kazini kwangu Ni Posta, Dar es Salaam. Do ushauri huu naomba uzingatie hilo sababu nitasoma jioni.

4) Lolote litakaloweza kunisaidia katika Safar yangu hii ngumu nayotarajia kuianza.

Natanguliza Shukrani.
 
Aug 22, 2014
23
45
Module E hatuna siku hizi, tuna Intermediate level Masomo 6,

Ishu ya materials ingia online NBAA kuna textbook & syllabus nadhani nitakuongoza vizuri

Masomo ya kuanza nayo, hapo jiangalie mwenyewe ila huwa tunapenda kuanza na module tough ili tupate nafasi nyingi za kurudia Incase unakamatwa, kumbuka kila Level Ina Max. Duration of 36 months= 6 Sittings.
Mimi nakushauri anza na matatu, kati ya hayo moja liwe B1 au B5.

Ishu ya centre, kwangu mimi naona Covenant F.C wako vizuri,
 

Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
864
1,000
Ahsante Sana Mkuu,

Nitaanzia na hayo,

So wasema notices nitazipata web ya NBAA, ngoja nikacheck huko. Covenant pia kuna mtu kanishauri wako vizuri kina Makaro.
 

Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
864
1,000
Kaka MSAVANGWA EMMANUELY,

Nimeangalia website yao, hamna syllabus wala textbooks. Pekee nilichokiona cha kusaidia ni fees structure tu.

Pengine hawana hiyo link au tu mimi ndio sijaiona. Msaada basi ukiweza kuniwekea hiyo link.
 

Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
864
1,000
Kila la kherii Lady Ra,utatupa feedback ndugu zako kuhusiana na ugumu wa CPA ambao tuna 'wish' tuisome.
Sawa Mkuu,
Mimi nitafanya INTERMEDIARY LEVEL yenye masomo 6, lakin nitaanza na matatu kwanza.

Nitasoma masomo haya kwa takriban miezi minne. Na since baadh Kama sio yote nilishayasoma at Degree level basi ninatumai sintopata tabu Sana.
 

Yuzo mawe

JF-Expert Member
May 31, 2019
494
1,000
Sawa Mkuu,
Mimi nitafanya INTERMEDIARY LEVEL yenye masomo 6, lakin nitaanza na matatu kwanza.

Nitasoma masomo haya kwa takriban miezi minne. Na since baadh Kama sio yote nilishayasoma at Degree level basi ninatumai sintopata tabu Sana.
Sawa madam utakua unazidi kutupa feedback,maana mdogo ako soon nakua graduate na Nina wish niisome.
 

Kanye2016

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
2,086
2,000
Sawa Mkuu,
Mimi nitafanya INTERMEDIARY LEVEL yenye masomo 6, lakin nitaanza na matatu kwanza.

Nitasoma masomo haya kwa takriban miezi minne. Na since baadh Kama sio yote nilishayasoma at Degree level basi ninatumai sintopata tabu Sana.
Tupe mrejesho ulivyo huko kwenye safari yako ya masomo kama hutojali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom