Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu,
Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020).
Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???
Habari wanajamii,
Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi!
Kwa niaba yake natanguliza shukrani!
Waungwa nawasalimu.
Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR...
Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati mbaya huku mkoani nilipo sijayaona kabisa na gharama za mkaa ni kubwa kidogo..
Ningependa kujuzwa
...
Wandugu poleni na majukumu, mwaka huu mwezi wa 2 nilienda kuwapelekea deni la loarn board walinunue na kwa kuwa nilikua na mkopo nao hao NMB wakanipigia mahesabu ya jumla kuwa pamoja na kununua hilo deni na kutoa deni lao watanipa jumla ya Tsh 5,660,000 nikasema poa tu kwakuwa nilikua na...
Nina PC HP ina tatizo la kioo pia window yake inasumbua
1) Naweza kutoa HDD (nishaitoa) nikaweka kwenye Pc nyingine halafu nikInstall window kwenye hiyo HDD, baadae nikairudisha kwenye hiyo PC Window ikafanya kazi? if yes, How?
2) Nawezaje kutumia window iliyopo kwenye exteranal bila kuathiri...
Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo...
Salamu kwenu,
Kumekuwa na kelele nyingi kuwa ndege zetu hazina maana yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Watu wanaenda mbali zaidi kuhoji ikiwa flyovers za Dar es Salaam zina umuhimu wowote kwa watanzania waishio vijijini, mikoani huko.
Ukiangalia hizi hoja, unapata picha mbili. Ya kwanza ni kuwa...
Ndugu wanaJF,
Ninaomba mwenye ujuzi wa kusoma mita za maji anijuze.
Yangu imeandika 13 mita za ujazo! Hivi gharama kwa mita moja ya ujazo ni shilingi ngapi?
NINAOMBA MSAADA WENU WADAU
Habari wadau, natambua kuwa mifuko ya plastic imepigwa marufuku kisheria ila ya kutumia kwaajili ya vifungashio imeruhusiwa. Naomba msaada wa kujua kiwanda kinachoprint mifuko ya plastic hasa kwa sisi wajasiriamali wadogo. Natanguliuza shukrani kwa michango yenu
Nimejenga kijijini kwangu, kuna vichaka vimenizunguka ambako ni makazi ya ndege na baadhi ya wanyama,wakiwemo popo.
Tatizo ni kwamba popo wengi wanaishi juu ya dari ya nyumba. Usiku ni makelele,wanachafua dari kwa vinyesi na mikojo.
Nilijaribu kumpandisha kijana darini mchana akiwa amefunga...
Habari wakuu,
Huu uzi nilitaka kuuweka kwenye jukwaa la sayansi na teknolojia lakini nimeona huenda kuna watu ambao hawatembelei kule na wanaweza wakawa na msaada. Kwa kweli ni kama muujiza tu.
Mimi nina kawaida ya kutembea na note book au karatasi na kalamu muda wote ili nikiwa na chochote...
Habari za asubuhi, wanajamiiforums.
Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu.
Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa...
Habari JF,
Mimi ni kijana mwenye elimu ya Shahada ya Logistics and Transport Management
Nimependa kuja mbele zenu kuomba connection ya kazi katika Field za logistics and Transport management.
Naweza kufanya kazi katika field za:
- Warehousing and Stores Administration
- Inventory...
Habari ya Jumapili wapendwa
Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja.
Nawakilisha🙏
Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya kuweza kununua kiwanja hiki ili kuepuka migogoro ya umiliki ambayo inaweza kuja kujitokeza baadae?
Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze.
NACTE tunaomba majibu!
Nimeibiwa simu hapa nahisi kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena simu yangu?
Nimeibiwa simu wakati ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka...
wadau,
Ninaomba ushauri wa dawa nzuri za mafua au kikohozi kwa mama mjamzito wa mimba ya week 37-38.
Dalili ni;
kikohozi kikavu
kubanwa na kifua
pua kuziba
natanguliza shukrani zangu.
regards.
Nina kipande cha ardhi. Ni unsurveyed nilinunua kwa mtu. Nikaenda kucheki status yake ardhi, nikakuta humo kuna ramani za open space, Msikiti, Kanisa, Soko etc. eti sehemu hizo zimeshakuwa marked for those activities. Mwenye eneo anasema hajawahi kupimiwa na hajui nani alifanya hayo.
Nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.