Hello everyone!
Naomba msaada wa kupata sample/template ya 'expression of interest' kwa ajili ya individual consultants.
Kuna sehemu nataka kupeleka maombi ya project management so wanachotaka ni expression of interest na mimi sijawai jaza hicho kitu. Hawataki application letter.
Nikipata...
Mimi Ni binti wa miaka 26 jamani nipo mbele zenu kuomba msaada wa ajira elimu yangu diploma ya uhasibu naishi Kibaha pwani mkoa wowote nipo tayar kufanya 0628882267.
Asanteni.
Salaam wakuu,
Ninataka niezeke kwa mabati yanayofahamika kama reject, nimetembelea wanapouza nimeona ni mapya kabisa hayana tofauti kubwa na yale ya madukani ambayo siyo reject.
Kuna mtu ameshawahi kuyatumia haya mabati au anafahamu mtu aliyewahi kuyatumia na hali yake ikoje mpaka sasa kwenye...
Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January.
Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
Wakuu nitaenda haraka kwenye point
Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata mpaka kupata kubali?
Nilikua naomba kama mtu akieleza hatua basi aeleze in detail kidogo ili niweze...
Naombeni mzoefu na kufanya hii mitihani ya certification mfano wa iyo ya CISA /CISSP/CEH anipe mwongozo mzuri, maana nataka mwaka huu nipate iyo certification moja wapo wakuu hasa hasa iyo ya CISA, wa atakaye weza nisaidia nikapata basi nitamredishia fadhira (tutaongea) kwa kazi iyo.
Gharama za...
Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele.
Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
Habari wakuu,
Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji
Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli.
Tangu hapo...
Mwenye ufahamu wa utengenezaji na uzalishaji wa pombe kali (gin) anisaidie.
Hapa nazungumzia kiwanda kidogo cha uzalishaji.
1. Upatikanaji wa material zake - Ethanol na flavor zake
2. Machine zinazohitajika kuanzia hatua ya mwanzo hadi mwisho kwenye packaging. upatikanajI wa machine na bei...
Kizuri kula na wenzio. Wakati COVID inaanza kuenea nchi ya Iran ilipata matatizo sana. Kuna mama mmoja alisambaza video jinsi alivyotumia kitunguu kukabiliana na COVID Pamoja na matatizo ya kifua kwa u jumla.
Tumia kitunguu muda wowote ule, kama unakohoa sana weka vipande vya vitunguu ndani...
Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana
Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna dalali ambaye yupo serious tuwasiliane ili tuweze fanya biashara.
Thanks
Wasalaam wana JF
Najua humu kuna wajuzi na wataaluma wa mambo mbalimbali. Nataka kujua kuhusu malipo ya likizo. Kuna hiki kipengere cha "Incidental expenses on journey" kina hitaji mwajiriwa alipwe katika mazingira yapi, maana kuna anaye safiri siku tatu ndipo anafika kijijini kwao hasa msimu...
Habari za wakati huu wapendwa,
Nipo hapa kuomba msaada wa kimawazo.
Mwenza wangu anakaribia kujifungua na amebakiza almost wiki kama5 tu. Clinick tumekuwa tukiattend pale Agakhan hospital ila tulivoulizia gharama za kujifungua tumeambiwa zinaweza kufikia hadi millioni6 au 7 in case kama kuna...
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada...
Wakuu,
Habari ya kazi. Nilikuwa Bugando kwa ajili ya kufanyiwa kipimo kinachoitwa endoscopy. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo
Esophagus MILD DISTAL OESOPHAGISI 2/HIATAL HERNIA
Stomach - HIATAL HERNIA
Duodenum NORMAL
Final Diagnosis - GERD 2 HIATAL HERNIA
Sasa WIKI IJAYO...
Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz.
Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.
Habari ya usiku viongozi? Samahani, naomba kujua utaratibu kisheria uko vp kwa mwanaume aliyeachana na mwanamke huku wakiwa wamezaa wore. I mean sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama). Mimi ni mtumishi niko kwenye NGO moja hapa kwetu (Tanzania). Note: Nina watoto...
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.
Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.