msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Je, website hii iliyokuwa inatoa Salary Slips nayo pia ilikuwa ni ya Serikali?

    Site yenyewe hii hapa: http://watumishiportal.utumishi.go.tz/ Ni website ambayo nilijisajili na hatimaye nikawa nina-print slalary slips zangu kuanzia March 2017 Salary slip ya kwanza niliyopata kutoka kwenye website hii ni ya March 2017 Niliendelea kupata Salary slip hizi hadi December 2018...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Upepo wasomba jiko la Shule ya Sekondari Mkwasa, wadau waomba kutoa msaada

    Zaidi ya wanafunzi 500 wa Shule ya Sekondari Mkwasa wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro watakosa huduma ya chakula waliyoizoea kutokana na jiko la shule hiyo kusombwa na upepo mkali ulioambatana na mvua Shule hiyo iliyopo kijiji cha Mungushi kata ya Masama Kusini ilikumbwa na kadhia hiyo Januari...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Habari zenu wakuu. Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
  4. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

    1. Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani. NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

    Habar wadau Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wordpress na Besa theme

    Habari zenu ndugu! Nimedownload besa theme nulled. Hapa nafanya mazoezi ya kutengeza ecommerce website. Kwenye desktop kila kitu nimefanikisha nnavotaka, shida ipo kwenye mobile version. Yaani nikiweka kwenye mobile view, hio site ina display header nyengine kabisa ambayo hata haifanani na...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa hili swali.

    Je kivipi utajibu swali kama hili?
  8. Darucha

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi msaada wa hili swali

    The existence of be perfect competition depend on number of strict condition prevailing on the market with firm operates.with example discuss the condition and show if it applicable be in the real situation
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  10. Royal Warrior

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni inayosafirisha mizigo kwa Meli kwenda nchi za Uarabuni

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani
  11. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mwenye templates nzuri ya blog anisaidie

    Wakuu habari! Naomba mwenye template nzuri ya blog anisaidie
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada redmi note 8 pro china version

    Habar wadau, Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version Bei yake 450,000 Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania? Pia bei hio ni reasonable kwa simu hio Ushauri wadau.
  13. Oflam

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    Msaada tafadhali juu ya scenario hii! Kuna jamaa ana mji wake na katika mji huo ameweka ulinzi wa Mbwa hawa America Broiler pamoja na fensi, usiku kuna jamaa alienda kwa lengo la kuiba kwake alipofika eneo la tukio akaruka ukuta ili aweze kuingia ndani baada ya yeye kutua ndani akakutana na...
  14. Father TZA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna na gharama za kusajili Blogu

    Habari Wakubwa? Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu. Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA...
  15. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader

    Habari wana JF, Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Naombeni msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader. Natumia Window 10 Pro 32 bit. Natanguliza shukrani.
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mama yangu anakohoa sana, inasemekana kuna vikohozi vya moyo. Naomba msaada wa dawa

    Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu. Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli amekohoa muda mrefu mpaka namuonea huruma. Nimejaribu kuulizia Kuna wanaosema ana kikohozi Cha moyo...
  17. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Msaada namna gani naweza kubadili avatar

    Naomba msaada wakuu,ni.namna gani naweza kubadili avatar..?
  18. ze future

    JamiiForums Tanzania MSAADA; Nahitaji Kuwa Msanii wa Filamu.

    Habari yako, mimi ni kijana wa miaka 20s ni mhitimu wa chuo 2020(Bachelor Degree in Tax Management). Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa napokea maoni mbalimbali haswa hapa mtaani wakinishauri kuwa niende nikaigize maana naonesha kuwa ninakipaji hiko...
  19. Auntkuku

    JamiiForums Tanzania Likizo bila malipo ipoje hii? Ufafanuzi please

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa ambao walikuwa ndani ya utumishi wakaomba likizo bila malipo utaratibu wake upoje. Kwa maana kwamba naanzia wapi ili nipate na huwa wanatoaga muda gani? (miaka)
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kuhusu Kikuu

    Habari za humu Watanzania? Samahani nimeingia kikuu ili kuona kama kuna kitu naweza kuchukua ila kuna vitu sijavielewa vizuri ni kuhusu hizo voucher sijaelewa kabisa zinakuwaje kuwaje? msaada tafadhali
Back
Top Bottom