Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Habari zenu mm ni mwanafunzi wa diploma medicine CMT. Kwa sasa nipo level 5 sem ya kwanza mwaka jana nilivyokuwa level 4 sem two nilipata supp ya pathology ambayo nilifanyia mtihan huu wa nacte ulioisha wa feb 2021 kama supplementary.
Kwahyo nilikuwa na soma level 5 huku nkiwa na supp moja ya pathology sasa nimesikia tetesi kuwa mtu yeyote yule hatarusiwa kufanya mtihan wa end mpaka atakapoweza kuchomoa masomo anayodaiwa yaan mfano kama mimi hapa nilivyofanya nacte ya pathology sitaweza endelea mbele au kufanya mtihani wangu wa mwisho wa level 5 mpaka matokeo ya wizara yatoke na ni pass ndio nitaruhusiwa kufanya mtihanio wa end.
Swali je hizi taarifa ni za ukweli? au kama kuna yeyote anayejua chochote kuhusu maswala ya supp?