MSAADA: PC haisomi (haikamati) wireless internet connection

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,227
2,000
Wasaalam wanajukwaa hili.

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho la hili tatizo anisaidie itakuwa msaada mkubwa sana.

Natanguliza shukrani.
 

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
4,142
2,000
Sizani kama nimekuelewa vizuri?

1.Wireless utakuwa umeizima kwenye laptop yako.tafuta sehemu ya kuruhusu wireless itumike kwenye hiyo laptop yako.

2.driver ya wireless itakuwa ipo out dated,unatakiwa uapdate hiyo driver ya wireless.

3.ili uweze kuona hiyo hotspot yako kwenye laptop ,pc inatakiwa kuwa na driver ya wireless,driver zinaondoka baada ya kuweka window mara nyingi sana
 

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,227
2,000
Sizani kama nimekuelewa vizuri?

1.Wireless utakuwa umeizima kwenye laptop yako.tafuta sehemu ya kuruhusu wireless itumike kwenye hiyo laptop yako.....
Asante kwa muongozo wako, nikianza ni hiyo namba 3, sijaweka window mpya muda mrefu sana.

labda hapo kwenye namba 2 inaweza kuwa ndipo kwenyewe,,,,kama hutojali waweza kunielekeza nini cha kufanya ili ku-apdate hiyo driver ya wireless.
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,732
2,000
Asante kwa muongozo wako...nikianza ni hiyo namba 3,, sijaweka window mpya muda mrefu sana
labda hapo kwenye namba 2 inaweza kuwa ndipo kwenyewe,,,,kama hutojali waweza kunielekeza nini cha kufanya ili ku-apdate hiyo driver ya wireless
device manager>>network adaptors.
 

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,227
2,000
nimeingia hapo uliponielekeza nimekutana na option 3
  1. Broadcom NetExtreme 57xx Gigabit Controller
  2. Intel(R) Centrino(R) Advanced N-6205
  3. Microsoft Virtual WiFi Miniport Adapter
nimeenda mpaka hapo kwenye namba 3 then nika right click nikaona option ya ku-update driver nikaichagua na majibu yamekuwa ..'window has determined the driver software for your device is up to date'.
lakini bado naambiwa 'No connection are available'
 

waterengineer

Member
Sep 12, 2020
93
125
Yaani kama ni internet na Bluetooth hazifanyi kazi baada ya ku install window mpya basi moja kwa moja nenda device manager kaupdate wireless & network adaptors zote kikamilifu tatizo litakia solved
 

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,227
2,000
Yaani kama ni internet na Bluetooth hazifanyi kazi baada ya ku install window mpya basi moja kwa moja nenda device manager kaupdate wireless & network adaptors zote kikamilifu tatizo litakia solved
Mimi sija install window mpya ila imetokea ghafla tu nilipomaliza kazi zangu nakaizima vzr then kesho yake ikawa haifanyi tena kazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom