Msaada tafadhali kufanya back up ya contacts zangu toka kwenye simu kwenda google akaunti

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,112
2,000
Simu yangu ni Tecno K9.

Nataka kufanya back up ya contacts zangu kwenye google akaunti yangu. Nisaidie nafanyaje. Nimesoma google hainipi ninachokitaka.

Please assist.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,112
2,000
Nenda Playstore, Pakua Google Contacts, ukishamaliza ku install nenda Settings, iruhusu ifanye backup kwenye Google account yako

Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana. Nisaidie Zaidi, nimenunua simu mpya. nataka kuhamishia contacts zangu kwenye simu mpya, nifanyeje? hasa ndilo lengo la kuomba msaada ili niweze kuhifadhi contacts google akaunti, then baadaye niyapakue kwenye simu mpya.
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
10,063

Fanya kama ulivyoelekezwa hapo juu, alafu kwenye hiyo simu mpya weka same email address na majina yote yatakuwepo
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
10,063
2,000
thanks a lot, ebu dadavua zaidi kidogo process ambayo natakiwa niifaye kwenye simu mpya kuweka majina hayo toka google akaunti
Hakuna process yoyote, synchronisation inafanyika moja kwa moja, cha msingi ubadili kwenye contacts settings majina mapya yawe yanaingia moja kwa moja Google badala ya kuingia kwenye handset au simcard.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,112
2,000
Nenda Playstore, Pakua Google Contacts, ukishamaliza ku install nenda Settings, iruhusu ifanye backup kwenye Google account yako

Sent using Jamii Forums mobile app
nimekwenda settings, nikaclick accounts------ ikaja google------ikaja gmail yangu-----------vikaja calendar, contacts,drive, gmail , google play movies etc etc. Nafanyaje sasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom