Msaada: Kuna uzi nautafuta

7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,150
2,000
Habari zenu ba ndugu.

Naomba msaada kunauzi nautafuta, nmeusahau jina japo maudhuhi yake nayakumbuka.

Uzi ule unahusu maneno ambayo unaweza ya tumia iliuende sawa na watu yani ni maneno ya kawadi tunayotumia kila siku ila mtoa ametia msisitizo.

Kizuri zaidi kuna-comment moja mwanana ulishushwa kwa lugha ya kibeberu. Ambayo ilikuwa yakufaha sana. Nayo ilikuja na maneno ambayo yanatafsiri sawa ila japo moja wapo laweza sound aggressive ukilinganisha na jengine.

Mwenye kuujua uzi uwo naomba ashee na kadamnasi.
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
2,659

Kuna duka moja la nyuzi lipo town mitaa ya karibu na sheli pale huwezi kuukosa, wana kila aina ya nyuzi pale.
 
Mwanakulipata

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
547
1,000
Umenikumbusha juzi kuna wimbo nilikuwa nautafuta...cha ajabu sijui msaani aliyeimba hata yale maneno yanayotajwa siyajui...najua beat tu....aisee viliumana huko youtube sio poa
 
Emmanuel Kasomi

Verified Member
Oct 18, 2019
3,237
2,000
Habari zenu ba ndugu.

Naomba msaada kunauzi nautafuta, nmeusahau jina japo maudhuhi yake nayakumbuka.

Uzi ule unahusu maneno ambayo unaweza ya tumia iliuende sawa na watu yani ni maneno ya kawadi tunayotumia kila siku ila mtoa ametia msisitizo.

Kizuri zaidi kuna-comment moja mwanana ulishushwa kwa lugha ya kibeberu. Ambayo ilikuwa yakufaha sana. Nayo ilikuja na maneno ambayo yanatafsiri sawa ila japo moja wapo laweza sound aggressive ukilinganisha na jengine.

Mwenye kuujua uzi uwo naomba ashee na kadamnasi.
Kazi hii ngumu sana
Ni kama lile swali la dada zetu, eti namba zangu umepata wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom